Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Shangazi [emoji2321]Saa sita[emoji2][emoji2][emoji91]
Shangazi [emoji2321]Saa sita[emoji2][emoji2][emoji91]
Chuchu mwiba[emoji91]Niliweka hii hapa msukuma!!View attachment 2172223
IntelijensiaMtaa gani huo bageshi?
😜😜😜😂😂😘😘😘😘😘 Nilikumisije mzungumze uwiii.... much welcome dear!Saa sita[emoji2][emoji2][emoji91]
✌️✌️✌️😜😜Chuchu mwiba[emoji91]
Hebu fanya featuring again...tuonee 😄Thank you
Nina innocent face somehow .
Ndio mtaa gani huo?? wa mazoezi ya yoga ama??
Asante Boss Lady. Saint Anne akikumwagia sifa za kila aina tuwe tunaelewa sasa uwii [emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]Nahii pia niliweka!View attachment 2172243
Sio saa sita StrawB....bali nne arobaini na tano 😍Saa sita[emoji2][emoji2][emoji91]
😂😂😂😂😂✌️✌️✌️Anne mpambe tu yule msukuma!!Asante Boss Lady. Saint Anne akikumwagia sifa za kila aina tuwe tunaelewa sasa uwii [emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu hukuu 😂😂😂Sio saa sita StrawB....bali nne arobaini na tano 😍
Nianze tena kustorika?Asante mno mno ila ningependa kweli kujua kwanini umenibariki kwa hivyo 1Yesu anapokea msalaba 5 Simoni anamsaidia Bwana yesu misalaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine rafikiHebu fanya featuring again...tuonee [emoji1]
Asante Mtumishi [emoji1545]Nianze tena kustorika?
Hahaa
Briefly:
1st stop…. Pilato anamuhukumu Yesu ili hali hajui na haoni kosa, ila anafanya hivyo 7bu ya kumuogopa Kaisari na Wayahudi…
Leo hii hata sisi tunashindwa kufanya mema kwa sababu ya kuogopa macho ya wenzetu na maneno ya hapa na pale.
Mf: katika kuokoka, ukiokoka full maana yake na baadhi ya mitindo ya maisha inakupasa uiache like kuvaa kizumaridi. Ila sasa inaweza kukushinda kuenenda na mtindo wa kuvaa kiAbiud kwa kuhofia macho ya watu.
Pia suala la haki, inatupasa tuitende kwa namna inatakiwa iwe pasipo kuleta za Pilato kuigandamiza haki kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi na kubembelezea ushost wake kwa Kaysari.
Likely kibinadamu, unakuta mtu anashindwa kusimamia haki 7bu tu anataka kum favor rafiki / ndugu.
5th stop…. Tunaona namna Simon wa Kirene anamsaidia Yesu kubeba msalaba, hapa tunapata funzo la ukarimu mixer upendo.
Kituo kinatuonyesha ushujaa wa Simon kumsaidia Yesu nasi pia yatupasa kumsaidia Yesu kuuchukua msalaba, tunauchukuaje!!
Ni kwa kuzifata na kuziishi amri za Mungu na amri za Kanisa letu la kikatoliki.
Afu mie sikusoma Sunday school ujue [emoji1787] inatosha
Leo zamu yako kubembeleza kama bwana 9.8 Square 😂😂Mimi nipo ila picha zinanipita hivi hivi laivu. Sijui leo nina mkosi gani wakati ni Furahi day. Sijapenda kwa kweli!
Anasemaga ukweli mtupu!!!Asante Boss Lady. Saint Anne akikumwagia sifa za kila aina tuwe tunaelewa sasa uwii [emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]
Kha ni wewe ?I am great,, kesho waenda mzizima?
Hukuogopa kudumbukizia huko simu 🤣
Hahaha [emoji23]Noo sio mm[emoji16][emoji16]