Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,886
- 37,844
Ngojea siku hii niiweke kwenye kumbukumbu zangu kupata bahati ya namna hii asante sana.Yeah! [emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngojea siku hii niiweke kwenye kumbukumbu zangu kupata bahati ya namna hii asante sana.Yeah! [emoji8][emoji8]
Hakika, mshukuru Mungu daima maana amekujalia jaliwa njemaThank you
Nina innocent face somehow .
Ooh Amen
Nafidia kutokukutag!Ngojea siku hii niiweke kwenye kumbukumbu zangu kupata bahati ya namna hii asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo nipo sana. Sijui nianze kuomba poo maana zinanizidi uwezo[emoji1787][emoji1787]Bado Upo!!!??? View attachment 2172185
UnakoshaBado Upo!!!??? View attachment 2172185
[emoji3577][emoji3577][emoji8]Unakosha
Ubarikiwe na kituo cha kwanza na cha tano..
Hahahaa unajua ugomvi wangu lakini, wewe nichokoze tu![emoji23][emoji23]Hadi uongee kichaga leo... nigeuke????[emoji12]????View attachment 2172195
😜😜🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Asante mno mno ila ningependa kweli kujua kwanini umenibariki kwa hivyo 1Yesu anapokea msalaba 5 Simoni anamsaidia Bwana yesu misalabaUbarikiwe na kituo cha kwanza na cha tano..
Mi ndio nadataNimemmisi sana Valentina jamani
Boss maisha yetu ni msalaba,haijalishi ni familia,kazi, biashara,afya nk.Asante mno mno ila ningependa kweli kujua kwanini umenibariki kwa hivyo 1Yesu anapokea msalaba 5 Simoni anamsaidia Bwana yesu misalaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo ila picha zinanipita hivi hivi laivu. Sijui leo nina mkosi gani wakati ni Furahi day. Sijapenda kwa kweli!
Unapotelea wapi msukuma... Hii yamwisho kwa leo...stay thereMimi nipo ila picha zinanipita hivi hivi laivu. Sijui leo nina mkosi gani wakati ni Furahi day. Sijapenda kwa kweli!
OK...Boss Lady....[emoji91][emoji91][emoji91]Unapotelea wapi msukuma... Hii yamwisho kwa leo...stay there
Chuchu konzi utafikiri ncha ya mkuki wa morani. Eti mama wa watoto wawili mweh! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8]Niliweka hii hapa msukuma!!View attachment 2172223
AtakuwaUnapotelea wapi msukuma... Hii yamwisho kwa leo...stay there
Niliweka hii hapa msukuma!!View attachment 2172223
Mtaa gani huo bageshi?