Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu sisi tunajiheshimu, tulianza kufundishwa uadilifu tangu enzi za TANU [emoji2957][emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
Hata ukinikurupusha kutoka usingizini usiku wa manane nakutajia ya kwanza mpaka ya 10 bila kubabaika wala kukosea. Nyerere alipambana sana kupandikiza falsafa ya uzalendo, utu na uadilifu. Good ole days...
Screenshot_20220401-113302_Chrome.jpg
 
Grahams Anatumia Passport ya ubabuuu.. kufanye yake.. wazee wa siku kaa nao mbali sio umeona alivyo king'ang'anizi kuja home [emoji23][emoji23]
Labda ni mmoja wa wanaolamba asali kila kona kama ukoo wa Makamba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

IMG-20220401-WA0021.jpg
 
Hata ukinikurupusha kutoka usingizini usiku wa manane nakutajia ya kwanza mpaka ya 10 bila kubabaika wala kukosea. Nyerere alipambana sana kupandikiza falsafa ya uzalendo, utu na uadilifu. Good ole days...
View attachment 2172065
Hivi vitu Kuna haja tuendelee kuwafundisha Vijana wetu. Ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom