Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
š· mbona mimi inanitoa na umbo la ulimi jamaniiš¬Kamera inasaidia dear!
š· mbona mimi inanitoa na umbo la ulimi jamaniiš¬Kamera inasaidia dear!
Em kwendraaatokaa zako hapa.. kama hutaki šš
Uongoo! Hebu tuonepo hilo umbo la ulimi kwanza ššš· mbona mimi inanitoa na umbo la ulimi jamaniiš¬
Mambo baba JMama J
Imenipita Boss Lady dah!African woman![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3577]
Muite MadamStrawbella leo sijakuona kabisa selfika!!
Staki kujipa aibu mimiš¬šššUongoo! Hebu tuonepo hilo umbo la ulimi kwanza šš
Tuma bwana aibu yanini sasaStaki kujipa aibu mimiš¬ššš
Ka kalio kadogooo nani atume š¬š¬šššTuma bwana aibu yanini sasa
ššššš kaa hapohapo leo badae nitakua bize sana...Imenipita Boss Lady dah!
mie pia mbona kangu kadogo tu ustadhat tupia jamani!Ka kalio kadogooo nani atume š¬š¬ššš
Tena wewe Ndio kabisaaaaaa nimekumis mnoooo mnoo my blood!!
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ Acha tu. Ingekuwa na hisia ingekuwa na raha sana ššNaamini leo itakuwa imepulizwa Sana Tu vumbi vumbi na tumguso guso kama inapata Moto ššš
Ungenimiss ungenitajaTena wewe Ndio kabisaaaaaa nimekumis mnoooo mnoo my blood!!