Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Kuna vitu vina fun sana.. watu hawajui kama kuwinda.. wengi hawajui tu na sijui kwanini.. na road tripNitashukuru sana mkuu wangu, niwe mkali wao na mie😅
Kuna vitu vina fun sana.. watu hawajui kama kuwinda.. wengi hawajui tu na sijui kwanini.. na road tripNitashukuru sana mkuu wangu, niwe mkali wao na mie😅
Kibubu cha mbao kitaliwa na mchwa, cha chuma kitaliwa na kutu 🙈View attachment 2169543
Kama Serikali inatunza akiba, kwanini na wewe usichonge kibubu kutunza🤪🤪🤪.
Nyumba ikiungua tu, unaanza upya kukusanya 🤪🤪
Tupi basi we mjuu wa Grahams 😎😎😎Kibubu cha mbao kitaliwa na mchwa, cha chuma kitaliwa na kutu 🙈
Naomba chenji 😜View attachment 2169543
Kama Serikali inatunza akiba, kwanini na wewe usichonge kibubu kutunza🤪🤪🤪.
Nyumba ikiungua tu, unaanza upya kukusanya 🤪🤪
Kwahiyo nikutumie huko huko Ulaya unitunzie kwenye akaunti yako Mjukuu? Si unajua Babu yako Uzee mwingi 🤪🤪😂Kibubu cha mbao kitaliwa na mchwa, cha chuma kitaliwa na kutu 🙈
Tutatunza serikalini babu mzuri 😜Kwahiyo nikutumie huko huko Ulaya unitunzie kwenye akaunti yako Mjukuu? Si unajua Babu yako Uzee mwingi 🤪🤪😂
😎😎😎😎Omba kwa babu atoe ruhusa
Road trip yees hili halina ubishiKuna vitu vina fun sana.. watu hawajui kama kuwinda.. wengi hawajui tu na sijui kwanini.. na road trip
Yananilevya makopa........🎶Masaji mgongoniiiii 🎵
Shikamoo madam LenieNakusalimia mkuu
Deal agreed 💯
Ni hiyo melody imenibamba arifu.......mkuu hii dedication kwa nani asee 😀
Sawa, nakutumia kiasi kidogo Cha fedha umfungilie Babu akaunti Benki ili aanze kutunza akiba yake huko🤪🤪Tutatunza serikalini babu mzuri 😜
Serikali yetu nzuri tu
Road trip huku mnakuala country mdogo mdogo.. ma story mnajitahidi mnakuwa na vitu vinavyo wapa vibe.. mnatafuta resort ambazo zipo porini kabisa ikiwezekana milimani.. kuna moja nilienda hivi majuzi kati ipo ulanga.. nili enjoy sanaa..Road trip yees hili halina ubishi
Mnatoka zenu mfano Dar to Bagamoyo jion mnarudi.
Au Dar to Moro then kesho yake mnageuza
Kuwinda nadhani wengi hawana hiyo exposure ndio maana hawajui raha yake, kama mimi i had no idea kama unaweza kuwinda for fun, now nimetamani kuexperience
Sema tu mkuu tumjue 😂😂😂Ni hiyo melody imenibamba arifu.......
Dereva amefanya kuirudia mara kadhaa
Nikawiwa ku share na ndugu zangu wa selfika😁
Kma nafasi na uwezo wa kutoa huduma upo endelea, unaweza kuta huyo Mchepuko tayari umeshazaa nao wewe 😂😁😁😁 kuna mmoja hadi leo nipo responsible kwenye kuanzia mafuta ya gari , services na bora ingekuwa IST.. gari ina 3.0L na huwa najishika moyo tu.. huwa napenda peace si unajua hawa mama zetu wana laana kali mno.. unaweza shangaa mambo haya endi 😂😂😂😂 huwa najitahidi ku maintain peace