Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sad!
Screenshot_20220330_173800.jpg
 
😂😂😂 namwambiaa

Sawa weekend ndio mpango mzima, no stress za kaisar. Naisubiri kwa hamu
Yani weekend kuna kuwa na opt kibao.. ikiwa mapema twende kabisa tukawinde.. tuchomee porini wenyewe 😀😀😀.. hakuna raha kama kuwinda
 
Hiyo nimeipenda, nitaandaa mavaz ya kaz kabisa👟

Japo hua naogopa maporini, lakini nitajikaza ndio nisispoil the fun😅
Usijali... usalama upo wa kutosha.. hakuna kitu kizuri na una enjoy kama kuweinda watu hawajui tu.. but ni bonge ya fun.. una enjoy hasaa.. nilianza kupenda kuwinda enzi za babu yangu alikuwa akinichukua tunaenda nyikani kuwinda
 
Kabisa, Kuna wakati unapata tatizo Kila unayempigia kumwomba akuazime fedha anakwambia hana.
Hela ikiwa kwa mtu sio ya kutegemea kabisa.. labda uwe na strong circle bilan hivyo unadhalilika.. kuna nyakati nilikuwa nashida na 4 million tu.. mbona nilikosa.. ikabidi niuze gari kwa hasara kubwa ushauza gari kwa miliona saba 🤣🤣🤣🤣🤣 utatua kitu.. dah.. baada ya hapo nikajifunza jambo.. adui yangu wa kwanza mikopo
 
Back
Top Bottom