Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Kukupa kibubu ushaanza wivu 😂😂Babuu
Usilike kila comment jamani utajikwaa
Kukupa kibubu ushaanza wivu 😂😂Babuu
Usilike kila comment jamani utajikwaa
Kukupa kibubu ushaanza wivu 😂😂
Mwarabu toka lini umenifananisha we dada😀😂😂😂😂😂😂
Sijategemea
Emu kwanza selfika mwarabu wetu
😂😂😂😂 ukajikuta umefika kwa wasukuma.Vibali vyake vipi ni swala la uelewa na ufatiliaji tu.. mkisha kuwa na road trip automatic huwa chemistry huja tu.. kuna siku sikuwa na hela ya kutosha natoka dsm naenda singida.. nikasema acha leo nile vichwa.. nimefika mbezi mwisho pale.. nikapaki gari yangu.. chap nikapata abiria wanne nikasema hawa wanatosha tukaanza safari mbona nilijikuta nimepeleka watu mwanza 😁😁😁😁 kwa namna ambavyo ilikuwa safari yenye furaha na ucheshi
Abee😂😂😂😂 ukajikuta umefika kwa wasukuma.
Kuna watu yaan hamjuani mmekutana tu ila mnavibe had mnajishangaa as if mlijuana kitambo huko.
Napenda sana watu wa aina hyo, stress free.
Hapo safari hata ya Bukoba hauchoki unaenjoooy tu (In Aristotee's voice😂)
Msosi umeiva?Abee
Nipo msukuma..... asante nawe tulikumis sana rafiki....
Nimeonja kidogoMsosi umeiva?
Muhimu ujumbe ufike, makosa tumeumbiwa binadamu😂🤣🤣🤣🤣🤣 na baada ya kujua kuwa umekosea!?
Au basii 🤣🤣
Ukarimu muhimu sana kwenye maisha, huwezi jua utae mkrimu leo kesho kwako anaweza kuwa na nani.. sijawai kula kichwa kikawa pia bored kwenye safari.. kuna wengine huwa sichukui hata nauli zao.. kuna mmoja nilimchukua stand alikuwa na shida ya afya.. na hakuwa na hela.. sikuchukua nauli yake nikamuhudumia mwanzo hadi mwisho hakuamini yule mtu.. na alie akawa ka mzima.. maana nilivyomtazama pia niliona ni mtu mwenye msongo wa mawazo.. But leo ni msaada.. ndio maana mie kwenye maisha yangu cha kwanza ukarimu, amani.. siwezi chukiana na mtu au kuruhusu amani apotee.. leo waweza kuwa kitu kesho usiwe hivyo ila kama ulikuwa mkarimu utaishi na ndio maana road trip zangu huwa na enjoy hasa ninapo amua beba abiria😂😂😂😂 ukajikuta umefika kwa wasukuma.
Kuna watu yaan hamjuani mmekutana tu ila mnavibe had mnajishangaa as if mlijuana kitambo huko.
Napenda sana watu wa aina hyo, stress free.
Hapo safari hata ya Bukoba hauchoki unaenjoooy tu (In Aristotee's voice😂)
yeye mwenyewe huyo ni msosi.. unasubiliwa na mwenyewe kuliwa 😁😁😁😁Msosi umeiva?
Inafanyaga nyama iwe na kabrownish flani hivi amaizing😋 aah jaman nakuja usimalize vyoteNimeonja kidogo
Ni tamu hatari… nangoja apoe kidogo 😋😋
Uzuri wa grill pan ndio hapo, hata uunguze lazima choma yake iwe tamu
😀😀😀 ukila unaliwa 🎉🎉🎉Nimeonja kidogo
Ni tamu hatari… nangoja apoe kidogo 😋😋
Uzuri wa grill pan ndio hapo, hata uunguze lazima choma yake iwe tamu
Na matumbo yake manne huyo unafikiri utakuta kitu 😂😂Inafanyaga nyama iwe na kabrownish flani hivi amaizing😋 aah jaman nakuja usimalize vyote
kama nasema uongo.. nalipa fidia.. na akibisha naweka ushahidi 😂😂😂😂Hahahahaaaaa Depal em njoo mwenyew uone, me simo🤣🤣
My day ended well friends!View attachment 2169632
Ndio ndio auntie AbiudMy day ended well friends!View attachment 2169632
Binti Abiudi🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Ndio ndio auntie Abiud
Kweli umeongea kitu kikubwa na cha msingi sana, wema hua siku zote hauozi ukigundua hilo basi utaishi vizuri na watu.Ukarimu muhimu sana kwenye maisha, huwezi jua utae mkrimu leo kesho kwako anaweza kuwa na nani.. sijawai kula kichwa kikawa pia bored kwenye safari.. kuna wengine huwa sichukui hata nauli zao.. kuna mmoja nilimchukua stand alikuwa na shida ya afya.. na hakuwa na hela.. sikuchukua nauli yake nikamuhudumia mwanzo hadi mwisho hakuamini yule mtu.. na alie akawa ka mzima.. maana nilivyomtazama pia niliona ni mtu mwenye msongo wa mawazo.. But leo ni msaada.. ndio maana mie kwenye maisha yangu cha kwanza ukarimu, amani.. siwezi chukiana na mtu au kuruhusu amani apotee.. leo waweza kuwa kitu kesho usiwe hivyo ila kama ulikuwa mkarimu utaishi na ndio maana road trip zangu huwa na enjoy hasa ninapo amua beba abiria