Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pesa ina changamoto my love 😍

Inahitaji nidhamu sana pesa..

ukifanikiwa nidhamu kwenye pesa utafanikiwa kwenye mengi..

mie nime struggle sana kwenye finance management.. ni changamoto sio jambo rahisi.. uwe unamtumia ka message ka Hi sister 😊😊
Yaa sana nimegundua ukiwa na roho ya kikatili yaani hata mtu akwambie vipi shida unakaza unaweza kutoboa kwenye maisha na pia kutokuwa na moyo wa kuamini hasa upande wa pesa nimejifunza.
 
Mie ndio nimefail ma ex wana nikamua kuliko present tense.. au nimelogwaaa 🤣🤣🤣🤣

na mchezo wa kuuza vitu sio mzuri.. mie nimeuza sana magari kwa ujinga ujinga wa kutokua na strong akiba.. but nao nimepata suluhu yake.. ila inatesa sana.. usipokuwa na akiba tayari ujijue ni maskini
Hahahaha.......muhimu ukifunga kurasa hutakiwi kurudi

Ila muhimu wasiwe wengi, labda mmoja au wawili. Ukiwa nao wengi hapo lazima uingilike, huyu anataka umjazie Kodi, yule mwingine anataka hela ya mafuta ya mwezi Mzima kwaajili ya gari lake n.k😂😂
 
Yaa sana nimegundua ukiwa na roho ya kikatili yaani hata mtu akwambie vipi shida unakaza unaweza kutoboa kwenye maisha na pia kutokuwa na moyo wa kuamini hasa upande wa pesa nimejifunza.
😁😁 Pesa ina lugha yake na ina tabia zake
. na lazima ujifunze ujue weakness yako kwenye pesa na strength yako kwenye pesa
 
Hahahaha.......muhimu ukifunga kurasa hutakiwi kurudi

Ila muhimu wasiwe wengi, labda mmoja au wawili. Ukiwa nao wengi hapo lazima uingilike, huyu anataka umjazie Kodi, yule mwingine anataka hela ya mafuta ya mwezi Mzima kwaajili ya gari lake n.k😂😂
😁😁😁 kuna mmoja hadi leo nipo responsible kwenye kuanzia mafuta ya gari , services na bora ingekuwa IST.. gari ina 3.0L na huwa najishika moyo tu.. huwa napenda peace si unajua hawa mama zetu wana laana kali mno.. unaweza shangaa mambo haya endi 😂😂😂😂 huwa najitahidi ku maintain peace
 
Back
Top Bottom