tuma basi ya color.. ya kimini 😊😊Utu uzima dawa
Ngozi ya mtume😍Tulia hebu 😆
Kula ya jana View attachment 2169481
.. mmh! hapo mnashibaje asa

Sentensi ya kwanzaNgozi ya mtume😍
Hiyo min hainitoshi? Nisendie kwa BM chap tasavali, nimeielewa
😊😊😊😊 naelewa naelewa.. mvua ya bila mawingu hiyoo mala nyingi simba huwa anakuwa anafanya yakeAiseee moto wake ni mkali balaa, niliushuhudia siku moja aah fire wangechelewa kidogo tu wangekuta majivu mbona.
Bahati nzuri mvua ikanyesha ghafla ndio ilikua pona yao.
Aaah.. mimi huyuu ☺️☺️unanichuuza sio![]()
Mkibakiza siku ingine nishtue.. chakula cha kuachiwa kinakuwaga kidogo kwasababu kinakuwa hakitoshi ☺️☺️☺️ sema tu msiwe mmekipa mate mateTumeshiba na tulitaka kuacha sema sio vizuri kutupa chakula![]()
Hips nitaibana na 'solotep' itatoshea tuSentensi ya kwanza
Hujakoma tu dada!??? Na evidence zote zile 🤣🤣🤣
Ile hips yako hapa haipiti shost
Wanasemaga eti simba anazaa, hivi ni kweli?😊😊😊😊 naelewa naelewa.. mvua ya bila mawingu hiyoo mala nyingi simba huwa anakuwa anafanya yake
😀😀😀 hiyo itakuwa ilitokeaga kwaiyo waka ipasisha pie 3.14.. ila safi sana mvua za hivyo za kushtukiza lazima hata inayo kushukia unashtukaWanasemaga eti simba anazaa, hivi ni kweli?
Me naskiaga story tu za vijiweni, maana vijana nao hawako nyuma kwenye mambo ya uzushi
mkuu hii dedication kwa nani asee 😀Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa.......🎼🎼....
🎵🎵🎵.....
Kushtuka lazima, kwanza unajua sikuamini kilichotokea?😀😀😀 hiyo itakuwa ilitokeaga kwaiyo waka ipasisha pie 3.14.. ila safi sana mvua za hivyo za kushtukiza lazima hata inayo kushukia unashtuka
Unahitajika sana sana.. jamii bila wewe kuna upungufu.. mkubwa kuna kutokwa chozi la damu.. sema dah! acha nifunge kinywaa 😀😀Kushtuka lazima, kwanza unajua sikuamini kilichotokea?
Kila nikikumbuka ila siku natafakari mengi sana, naona bado jamii inanihitaji.
Aaah.. mimi huyuu![]()
Mkibakiza siku ingine nishtue.. chakula cha kuachiwa kinakuwaga kidogo kwasababu kinakuwa hakitoshisema tu msiwe mmekipa mate mate
Eeh acha tu usiseme mengi, naelewa unayopitia kama kijana tuna changamoto nyingi.Unahitajika sana sana.. jamii bila wewe kuna upungufu.. mkubwa kuna kutokwa chozi la damu.. sema dah! acha nifunge kinywaa 😀😀
wemye vitambi wana tuzo yao maalumum. kuna raha yake kitambi.. mfundishe mr namna ya kukichezea hutojutia.. utaomba kiongezeke zaidieeeeh mtu ukinenepa kitambi hakichezi mbaliiii