Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kma nafasi na uwezo wa kutoa huduma upo endelea, unaweza kuta huyo Mchepuko tayari umeshazaa nao wewe 😂
😁😁😁 napenda amani sana, nashangaa watu ambao hawapatina na ma ex. wao.. mtu ambae mmelea uchi pamoja anakujua in and out.. unakuja kuwa adui yake.. mie kwangu hiyo nimeshindwaa.. ex wangu wote ni kama ndugu zangu ingawa niliona kwa mfano huyu wa mwisho alikuwa hata kabisa ukaribu ila nili mset sana... hadi akakaa kwenye kanuni zanguu.. mtu anaviona vitako asubuhi na jioni alafu leo. mnakuwa maaadui hapana asee 😂😂😂
 
Road trip huku mnakuala country mdogo mdogo.. ma story mnajitahidi mnakuwa na vitu vinavyo wapa vibe.. mnatafuta resort ambazo zipo porini kabisa ikiwezekana milimani.. kuna moja nilienda hivi majuzi kati ipo ulanga.. nili enjoy sanaa..

Uwindaji ni kweli wengi hawana idea nayo kutokana na nature yake
Mkiwa watu mnaoelewana wote mna vibe basi mnaenjoy sana.
Na mazingira ya nje ya mji mazuri refreshment ya kutosha.

Ila kuwinda haihitaji kibali? Isije kua hiyo nayo inakwamisha
 
😁😁😁 napenda amani sana, nashangaa watu ambao hawapatina na ma ex. wao.. mtu ambae mmelea uchi pamoja anakujua in and out.. unakuja kuwa adui yake.. mie kwangu hiyo nimeshindwaa.. ex wangu wote ni kama ndugu zangu ingawa niliona kwa mfano huyu wa mwisho alikuwa hata kabisa ukaribu ila nili mset sana... hadi akakaa kwenye kanuni zanguu.. mtu anaviona vitako asubuhi na jioni alafu leo. mnakuwa maaadui hapana asee 😂😂😂
😂😂kwangu mimi akuna tukiachana vita ni vita Mula😬
 
Mkiwa watu mnaoelewana wote mna vibe basi mnaenjoy sana.
Na mazingira ya nje ya mji mazuri refreshment ya kutosha.

Ila kuwinda haihitaji kibali? Isije kua hiyo nayo inakwamisha
Vibali vyake vipi ni swala la uelewa na ufatiliaji tu.. mkisha kuwa na road trip automatic huwa chemistry huja tu.. kuna siku sikuwa na hela ya kutosha natoka dsm naenda singida.. nikasema acha leo nile vichwa.. nimefika mbezi mwisho pale.. nikapaki gari yangu.. chap nikapata abiria wanne nikasema hawa wanatosha tukaanza safari mbona nilijikuta nimepeleka watu mwanza 😁😁😁😁 kwa namna ambavyo ilikuwa safari yenye furaha na ucheshi
 
Lenie njoo ule kwetu dinner
Mama leo anachoma choma vitu
FB15506A-72E1-47D4-B5DA-DC54BB302BC8.jpeg
 
Hahahaha............nimeridhia

Ndugu wanajukwaa, nikiwa na akili timamu pasipo kushikinizwa na yeyote, nimeamua kibubu changu Cha akiba anitunzie Mjukuu wangu Depal 🤪🤪🏃🏃🏃🏃🏃
Depal we shost yangu tumetoka mbali ujue, tukumbukane kwenye huo ufalme😋😋

Ooh sorry Grahams nikajua nimemquote D kumbe mekosea
 
Back
Top Bottom