Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usijali... usalama upo wa kutosha.. hakuna kitu kizuri na una enjoy kama kuweinda watu hawajui tu.. but ni bonge ya fun.. una enjoy hasaa.. nilianza kupenda kuwinda enzi za babu yangu alikuwa akinichukua tunaenda nyikani kuwinda
Usalama ndio la msingi kama umenihakikishia hilo basi tutaenda.

Sijawah kuwinda japo nyama pori hua nakula na nazipenda sana.
Itakua experience nzuri sana hiyo, am sure nitaenjoy
 
Bonge la experience unaweza tamani kila wiki uende.. kuna raha yake.. usalama upo wa kutosha.. tena sanaaa.. nafikiri baada ya hapo na wewe waweza anza kujifunzaa..
 
Hela ikiwa kwa mtu sio ya kutegemea kabisa.. labda uwe na strong circle bilan hivyo unadhalilika.. kuna nyakati nilikuwa nashida na 4 million tu.. mbona nilikosa.. ikabidi niuze gari kwa hasara kubwa ushauza gari kwa miliona saba 🤣🤣🤣🤣🤣 utatua kitu.. dah.. baada ya hapo nikajifunza jambo.. adui yangu wa kwanza mikopo
Tatizo Dunia ya sasa ukimkopesha mtu tayari ushatengeneza uadui mkubwa😀
 
Hela ikiwa kwa mtu sio ya kutegemea kabisa.. labda uwe na strong circle bilan hivyo unadhalilika.. kuna nyakati nilikuwa nashida na 4 million tu.. mbona nilikosa.. ikabidi niuze gari kwa hasara kubwa ushauza gari kwa miliona saba 🤣🤣🤣🤣🤣 utatua kitu.. dah.. baada ya hapo nikajifunza jambo.. adui yangu wa kwanza mikopo
Pole sana Mkuu,

Nakumbuka X wangu mmoja alipatwa na Msiba wa Mzee wake, alafu hana hata 10,000 mbovu ndani. Hapo tulishamwagana zaidi ya miezi 17, nikakuta namba ngeni inanicheki....... anyways Kwa kuwa ni Msiba nilimsaidia.

Ila akiba ni muhimu sana, ukishindwa kutunza fedha basi walau uwe na assets ambazo unaweza kuzisukuma ukasolve tatizo lako
 
Mie ndio nimefail ma ex wana nikamua kuliko present tense.. au nimelogwaaa 🤣🤣🤣🤣

na mchezo wa kuuza vitu sio mzuri.. mie nimeuza sana magari kwa ujinga ujinga wa kutokua na strong akiba.. but nao nimepata suluhu yake.. ila inatesa sana.. usipokuwa na akiba tayari ujijue ni maskini
 
Pesa ina kikundi kipenzi ikiwa tu ndugu tunagombana nao kisa pesa mtakubaliana vizuri kwenye utekelezaji sasa😬
Kuna watu ambao wapo serious mie kuna watu hata sasa hivi najua nikiwa na shida na kiasi gani niki wacheki wananipa kwasababu wananielewa a man of vision siwezi fupisha maono yangu kwa kukosa uaminifu.. the same na wao. na circle isizidi watu watano.. mkiwa wengi tatizo tayari
 
Una bahati mpendwa mimi nilimkopesha dada huu mwaka wa 2 yaani hata nikipigia simu ya salam hataki kupokea anajua nitakumbushia deni,Nilikuwa na best yangu tulipanga tuweke pesa ikifika kiasi kama sh million 20 tufungue biashara mpaka leo ni ugomvi kuhusu ile pesa japo kiasi kile hatukufikisha tuliishia njiani😬
 
Pesa ina changamoto my love 😍

Inahitaji nidhamu sana pesa..

ukifanikiwa nidhamu kwenye pesa utafanikiwa kwenye mengi..

mie nime struggle sana kwenye finance management.. ni changamoto sio jambo rahisi.. uwe unamtumia ka message ka Hi sister 😊😊
 
Back
Top Bottom