Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Inshaalah kwa uwezo wa Allah itaongezeka zaidi🤗🤗 roho yangu nyeupee.. hapa speed ya kuingia cash inaongezeka na utafutaji inaongezeka your my inspiration 😍😍😍
Inshaalah kwa uwezo wa Allah itaongezeka zaidi🤗🤗 roho yangu nyeupee.. hapa speed ya kuingia cash inaongezeka na utafutaji inaongezeka your my inspiration 😍😍😍
Maji sana hayo.. 😀😀😀 nipo hapa nawapasha pasha wanafunzi wangu.Hahahahah!!!!vimeisha poa kabisaa!!
Complex no#hesabu simple kuliko zote advance na logic
mzungu [emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo una nn kwan? Mbna umechachuka sanaa.?Hahahaaa
....... kadi ya harusi nisiikose pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Note that
Ndio mamy
Nimepunguza almost 8 kilos! Nilikua naelekea kupasuka aisee
Na mimi nimekuelewa nkamu; ahsanteee. Hapo pa kuvaa slippers sasa, nisivyopenda kushinda na viatu. Ngoja nipambaneyaani naipenda ngoja iishe tu nisiinunue tena kuna moja nimeinunua juzi juzi nimejuta hela yangu.
Hiyo versace Dylan Blue sijawahi ijaribu.
sawa ngoja nitatupia
kulainisha nyayo fanya mara tatu kwa week na iwe jioni au usiku unaenda kulala.
kulainisha nyayo unachukua maji ya moto unaweka chumvi unaloweka miguu for ten minutes, ukimaliza unachukua msasa unajisugua… unajisafisha unachukua scrub …mimi natumia Tunu Scrub unajiscrub ukimaliza unasafisha unapaka mafuta ya nazi unavaa socks unalala.
siku ambazo haujiscrub miguu ukioga paka tu mafuta ya nazi kwenye nyayo vaa socks na kamwe usitembee peku ndani vaa slippers.
Nkamu si umeelewa [emoji85]
Pisi kali
Amin. 😍 my inspiration Nuzulati usiache dua kwa ajiri yangu 🤗🤗Inshaalah kwa uwezo wa Allah itaongezeka zaidi
Salama mpendwa[emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bills river will suit you.
Pillars naona ni mpaka sita flani or nane
Kipong pia mpaka mahakama itafunguliwa
Mopao mpaka hiace za moshono zitaamka
Rangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
Mrembooo [emoji8][emoji8][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Mkuu
Hapa nasubiri Saint Anne aje amwage sifa
Ila mimi naomba niruhusiwe kumwaga mtongozo hapa hapa live bila chenga[emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
Cheupeeee
Tatizo tumbo nduguMbona sioni ubonge hapo?[emoji2]
Mmh hakuna filter hapo bana cheupeHizi ni mambo za filter aisee ni addiction [emoji2][emoji2]
shoga leo ndo nimevaa njano kwa mara ya kwanza [emoji28][emoji28] .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama wale wazungu nawaonaga Shoppers [emoji3059]