reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,363
Haina kweree mmejaa tele miye!!!urudi salamaNarudi jpili ntapita apo usicheze mbali unga robo[emoji38]
Haina kweree mmejaa tele miye!!!urudi salamaNarudi jpili ntapita apo usicheze mbali unga robo[emoji38]
Mweee
Me napenda kutembea peku jamani
Yan mpaka ofisini kuna wakati nauchapa peku.
Hapa sahivi nimevua viatu miguu iko chini
Mweeh tupo wengiMweee
Me napenda kutembea peku jamani
Yan mpaka ofisini kuna wakati nauchapa peku.
Hapa sahivi nimevua viatu miguu iko chini
Mnoo na mi nshafeliDuuuh urembo kazi. [emoji23][emoji23]
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Shukrani dear[emoji3531][emoji3531]
Tuko wengiMweee
Me napenda kutembea peku jamani
Yan mpaka ofisini kuna wakati nauchapa peku.
Hapa sahivi nimevua viatu miguu iko chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaah.Mnoo na mi nshafeli
Nataka nione sasa lile kopo la hiyo scrub.yaani naipenda ngoja iishe tu nisiinunue tena kuna moja nimeinunua juzi juzi nimejuta hela yangu.
Hiyo versace Dylan Blue sijawahi ijaribu.
sawa ngoja nitatupia
kulainisha nyayo fanya mara tatu kwa week na iwe jioni au usiku unaenda kulala.
kulainisha nyayo unachukua maji ya moto unaweka chumvi unaloweka miguu for ten minutes, ukimaliza unachukua msasa unajisugua… unajisafisha unachukua scrub …mimi natumia Tunu Scrub unajiscrub ukimaliza unasafisha unapaka mafuta ya nazi unavaa socks unalala.
siku ambazo haujiscrub miguu ukioga paka tu mafuta ya nazi kwenye nyayo vaa socks na kamwe usitembee peku ndani vaa slippers.
Nkamu si umeelewa [emoji85]
Duuuh urembo kazi. [emoji23][emoji23]
Ntazingatia ngoja niskrini shot
[emoji1][emoji1]jamani ungefanya mkuu apatwe na kihoro weeee!!!Nilitaka kuja mpaka shuleni kwako niende kwa mkuu wako nimwambie namtaka madam mage anatakiwa ikulu chamwino kumbe nakuchomoa tukale nyama [emoji38][emoji38]
[emoji2296]Share tips plz umefanyeje, mimi nakaribia 100[emoji28][emoji28][emoji28]
Ngozi yangu inafubaa sana Dom bado sijapata mafuta ya kutumia huku yaani daahh!acha tu !!ule uweupe wangu unafifia mpk najishtukia yaani!!!Hahahah huko kwa kweli utakuwa na ramani mwili mzima
Nyie wa kaskazini mna undugu na mashombe.Hamna shombe shombe hapo ni kaskazini moja...[emoji2][emoji2]
Unakosa konfidensi kabisaEti chanuo mguu ukiwa na gaga ni kelo
Afu nakudai ujue!!usijisahaulishe[emoji28][emoji28][emoji28]Tafuta Socks kama ni mpenzi wa peku.
kwanini unavua ni virefu au[emoji28]
Unaweza ukaona mbona ni sawa tu ila nilivyoacha kutembea peku mabadiliko ni makubwa.
Kabisa na hivi hili lijamaa 9.8ms squared Sio lichoyo utaenjoy SanaNina kuombea kila itwayo leo najua ukifanikiwa wewe kwangu imedhibitishwa itasomeka vizuri
Weeeh!!hongera sana shepu sasa itakua fireeeeNdio mamy
Nimepunguza almost 8 kilos! Nilikua naelekea kupasuka aisee
Socks mpaka baridi lije ndiyo naziwezaTafuta Socks kama ni mpenzi wa peku.
kwanini unavua ni virefu au[emoji28]
Unaweza ukaona mbona ni sawa tu ila nilivyoacha kutembea peku mabadiliko ni makubwa.