Mao Geofrey
Member
- Dec 15, 2018
- 13
- 5
Mmmh
Mweeeh!!mda huo kweli sikua online so ushapita?!!Sure Kuna picha nilikutag mida flani saa tano ebu Rudi post za juu utaiona
Na mimi nimekuelewa nkamu; ahsanteee. Hapo pa kuvaa slippers sasa, nisivyopenda kushinda na viatu. Ngoja nipambane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Avatar mpyaaa
Tuna hadi mashombe humu ndani[emoji91]
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
Ntazingatia ngoja niskrini shotyaani naipenda ngoja iishe tu nisiinunue tena kuna moja nimeinunua juzi juzi nimejuta hela yangu.
Hiyo versace Dylan Blue sijawahi ijaribu.
sawa ngoja nitatupia
kulainisha nyayo fanya mara tatu kwa week na iwe jioni au usiku unaenda kulala.
kulainisha nyayo unachukua maji ya moto unaweka chumvi unaloweka miguu for ten minutes, ukimaliza unachukua msasa unajisugua… unajisafisha unachukua scrub …mimi natumia Tunu Scrub unajiscrub ukimaliza unasafisha unapaka mafuta ya nazi unavaa socks unalala.
siku ambazo haujiscrub miguu ukioga paka tu mafuta ya nazi kwenye nyayo vaa socks na kamwe usitembee peku ndani vaa slippers.
Nkamu si umeelewa [emoji85]
Narudi jpili ntapita apo usicheze mbali unga robo[emoji38]Mweeeh!!mda huo kweli sikua online so ushapita?!!
Nshakosa kuendeleshwa na RR miyee[emoji28][emoji28][emoji1][emoji28]
Soksi at least naweza kujitahidi. Ngoja nipambane hata slippers ntavaa tuNdani ya mwezi Nkamu matokeo yatakua mazuri sana.
Nkamu jitahidi ukishindwa basi vaa socks ila tu usitembee peku.
Duuuh urembo kazi. [emoji23][emoji23]yaani naipenda ngoja iishe tu nisiinunue tena kuna moja nimeinunua juzi juzi nimejuta hela yangu.
Hiyo versace Dylan Blue sijawahi ijaribu.
sawa ngoja nitatupia
kulainisha nyayo fanya mara tatu kwa week na iwe jioni au usiku unaenda kulala.
kulainisha nyayo unachukua maji ya moto unaweka chumvi unaloweka miguu for ten minutes, ukimaliza unachukua msasa unajisugua… unajisafisha unachukua scrub …mimi natumia Tunu Scrub unajiscrub ukimaliza unasafisha unapaka mafuta ya nazi unavaa socks unalala.
siku ambazo haujiscrub miguu ukioga paka tu mafuta ya nazi kwenye nyayo vaa socks na kamwe usitembee peku ndani vaa slippers.
Nkamu si umeelewa [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba we huvaagi sasa?shoga leo ndo nimevaa njano kwa mara ya kwanza [emoji28][emoji28] .
Looohhh!!;[emoji2][emoji2][emoji1][emoji2]pole best sikua online next time Mungu akipenda nishtue aseehh!!!reymage nilikuchek sema hakijaharibika kitu navorudi napitaView attachment 2167008
MweeeNdani ya mwezi Nkamu matokeo yatakua mazuri sana.
Nkamu jitahidi ukishindwa basi vaa socks ila tu usitembee peku.
😍😍 Amin.Nina kuombea kila itwayo leo najua ukifanikiwa wewe kwangu imedhibitishwa itasomeka vizuri
Mrembooo [emoji8][emoji8][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Miguu yangu bila Vaseline na glycerin huku dodom inakua chanuoNa mimi nimekuelewa nkamu; ahsanteee. Hapo pa kuvaa slippers sasa, nisivyopenda kushinda na viatu. Ngoja nipambane
Nilitaka kuja mpaka shuleni kwako niende kwa mkuu wako nimwambie namtaka madam mage anatakiwa ikulu chamwino kumbe nakuchomoa tukale nyama [emoji38][emoji38]Looohhh!!;[emoji2][emoji2][emoji1][emoji2]pole best sikua online next time Mungu akipenda nishtue aseehh!!!
Hahahah huko kwa kweli utakuwa na ramani mwili mzimaMiguu yangu bila Vaseline na glycerin huku dodom inakua chanuo
Tatizo tumbo ndugu
Ubonge upo mwaya nahitaji niwe mwembamba .
Eti chanuo mguu ukiwa na gaga ni keloMiguu yangu bila Vaseline na glycerin huku dodom inakua chanuo