Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23] sema Mary Jane bana, Marijuana ndiyo nini?

Uje na pochi nene [emoji1787][emoji41]
Sema maeneo upendayo nikushushie viwanja.
Samahani kwa kulikosea heshima jina Mary Jane iwepo kuamsha kwanza handas then sehemu ambazo Mimi nitakesha mpaka nizione daladala zikikatisha asbh ndio nitaamini kumekucha
 
Samahani kwa kulikosea heshima jina Mary Jane iwepo kuamsha kwanza handas then sehemu ambazo Mimi nitakesha mpaka nizione daladala zikikatisha asbh
🤣🤣🤣 Bills river will suit you.
Pillars naona ni mpaka sita flani or nane
Kipong pia mpaka mahakama itafunguliwa
Mopao mpaka hiace za moshono zitaamka
 
Back
Top Bottom