Weka hapa alaf unafuta chap kama unvyofuta pichaHa ha ha
Njoo piem mkuu 🚶🏻♀️
Weka hapa alaf unafuta chap kama unvyofuta pichaHa ha ha
Njoo piem mkuu 🚶🏻♀️
Nimesikia sauti inaniita kitambo nikawa nazuga, ona nimeshapitwa sasa
Em nisimulie kidogoEwaaaaa.........❤
Mdogo wangu hapa nina cha kujivunia
Leo Heaven Sent atakoma
Najipanga kumsimulia nilichokiona😍
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Asante Sana hapo bills river ✓ big tick ...nimeipania Sana r chuga[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bills river will suit you.
Pillars naona ni mpaka sita flani or nane
Kipong pia mpaka mahakama itafunguliwa
Mopao mpaka hiace za moshono zitaamka
AkuWeka hapa alaf unafuta chap kama unvyofuta picha
😍😍Tumemisiana mpendwaNimekumiss hadi naugua 😍
🤣🤣🤣🤣Nimesikia sauti inaniita kitambo nikawa nazuga, ona nimeshapitwa sasa
Leo umeamua[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Rangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
Salama mpendwa❤️Salama lakini?
Ndio ndio...yanga hoyeeeeeeeeRangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
Kwahiyo umetudanganya wewe ni chibonge?Rangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
Mkuu
Nangoja ugeukeeee❤Rangi inaakisi weh [emoji28] ...
Unaitwa mwanayanga kila sehemu View attachment 2166982
🤗🤗🤗 nikikuona naona siku zangu za kuishi zinaongezeka kwa raha nayosikia 😍😍😍😍Tumemisiana mpendwa
Mbona kama wale wazungu nawaonaga Shoppers 🥰
Haha, jua lilivyokuwa kali sasaLeo umeamua[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yaanakuwa makubwa mimi nikichukia huwa nina katabia ya kwenda kujichungulia kwenye kioo sura naiyona tofauti au nikilia😂😬Sipingi 🤣
Kuna muda nayaonaga mazuri..
Ila usiombe ukanikuta nimevurugwa, yanakuwa makali.