Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Kumbe haujui halafu ukawaza tu mawazo mabaya [emoji1787]Sijui
Hata ni kitu gani
Na kwanini nifanyiwe[emoji2][emoji848]
Kumbe haujui halafu ukawaza tu mawazo mabaya [emoji1787]Sijui
Hata ni kitu gani
Na kwanini nifanyiwe[emoji2][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNa wewe unataka kufanyiwa scrub?
Lately sijapiga picha full maana hakuna wa kunipiga .Hakuna kapicha uvopungua nione!!??
mie pia sikuhizi nimepungua sana!! Nafanya mazoezi na diet walau naona vinanisaidia
Family [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]Tbt [emoji3590]View attachment 2166944
Naona chombo imetulia wazee wa english figure.. 😁😁😁Tbt [emoji3590]View attachment 2166944
Mie sasa nanenepa hadi tumbo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tumbo tyuuh.
Hahahaha Tumbo linakera ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tumbo tyuuh.
Khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie sasa nanenepa hadi tumbo!!
Wanakuambia live au text ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli shouzzzzzzzz wee acha tyuuh.
Kwa text, live hawaogopi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanakuambia live au text ?
Hapo sasa umesema kweli. [emoji8][emoji8][emoji8]Hahahaha Tumbo linakera ,
Baki na umodo wako ila sasa tengeneza kashape .
Tumbo tutatumia la kwangu😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki tumbo tyuuh.
[emoji3][emoji3] kitu roho inapendaNaona chombo imetulia wazee wa english figure.. [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimepunguza almost 8 kilos! Nilikua naelekea kupasuka aiseeLately sijapiga picha full maana hakuna wa kunipiga .
Kupungua kuna raha yake bhana , hongera kwa kupunguza kilo ... Vipi umejua umepunguza kilo ngapi ... Endeleza mazoezi tu wewe
Yes family [emoji3590]Family [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanakuambia live au text ?
Umeona sasa Mabinti Abiudi ndo wanaojenga nao familiaFamily [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8]