Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona sasa mnavyowachanganya watu.
Juzi mlisema tunavaa kama mama Rwakatare utadhani tuna msiba.

Bora mimi niliyeshikilia msimamo wangu jeshi la mtu mmoja siyumbi hata msemaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Scandal nilipenda wakati nanunua
Nilipofika nayo nyumbani mambo yakawa tofauti[emoji19]
Kuna hii Versace Dylan blue[emoji91]



Vitu vya scrub hivi,,kulainisha mikono,miguu
Uliweka nkamu

yaani naipenda ngoja iishe tu nisiinunue tena kuna moja nimeinunua juzi juzi nimejuta hela yangu.

Hiyo versace Dylan Blue sijawahi ijaribu.


sawa ngoja nitatupia

kulainisha nyayo fanya mara tatu kwa week na iwe jioni au usiku unaenda kulala.

kulainisha nyayo unachukua maji ya moto unaweka chumvi unaloweka miguu for ten minutes, ukimaliza unachukua msasa unajisugua… unajisafisha unachukua scrub …mimi natumia Tunu Scrub unajiscrub ukimaliza unasafisha unapaka mafuta ya nazi unavaa socks unalala.

siku ambazo haujiscrub miguu ukioga paka tu mafuta ya nazi kwenye nyayo vaa socks na kamwe usitembee peku ndani vaa slippers.

Nkamu si umeelewa [emoji85]
 
Back
Top Bottom