Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Tulikuambia hapaSaint Anne Lenie
Nyie nipo nakula wali na mlenda
Kumbe wali mlenda ni ka something ee au nina njaa zangu tu!!

Tulikuambia hapaSaint Anne Lenie
Nyie nipo nakula wali na mlenda
Kumbe wali mlenda ni ka something ee au nina njaa zangu tu!!

Nasema uongo mamy Lebanon?Hahahaaa
Sawa controla nimekusoma! Ila ni vizuri wanaume mkibadilisha hiyo mitazamo yenu juu ya wanawake kwa sababu ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo hata kama wengine hamuoneshi!shida ni kutojua unae date nae au ku hang nae upeo wake,Kasoro yenu wadada n 1 tu
mkipenda mnapenda haswaaa mnaingia kiwiliwili mpk kiwiko mpk visigino vyote unadumbukia
huo tu ndio udhaifu wenu,mnapopenda kuna mambo ya privacy mnayasahau mnayaacha nyuma
Unapoenda have fun mahali yoyote nadhani ukitoka pale habari za pale unaziacha pale pale
sex si jambo la kwenda simuliana ilikua hv ilikua vile alikuja hv alikuja vile,as long as umeshakata kiu yako
sepa quitely muache aseme huko huna thamani,kwanza unamskia saa ngapi akisema wakat ushayeyuka.
ni sawa na mtu akutukane matusi ya nguoni halafu anakutukana kwa kikabila chao,hivi utaumia kabsaaa?!!
MweeeTulikuambia hapa![]()
Nasema uongo mamy Lebanon?



mlebanon apambane tu nahali yake na stress zao sitaki miyeee!!



Sijui nikurekodie ka clip![]()







Mbona mchaga 🤣🤣Mimi wali maharage tena nachanganya pamoja,inanikumbusha boarding school,utakua mchaga bila shaka![]()
Why watoane damu acha kukaribisha ibilisi bini shetaniJF!!!
JF!!!
JF!!!
nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.
Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
mjeda wa mchongousiniletee balaaa wenyewe wakaanza nisaka bure kina Lovelucky.. mie muhuni tu mmoja napambana na hali zangy
Hiyo pita ni home made lizzyPita bread ya wapo hiyo??![]()
Neema zenyewe sijui zipi hizo
muone neeema ili mgundue nini sasa Msukuma nawewe!!
Performance matters,, tutafute vokabulali za kitaa na maneno magumu,, yatakayotufanya tule ban forever humu JF
Kisa?Performance matters,, tutafute vokabulali za kitaa na maneno magumu,, yatakayotufanya tule ban forever humu JF
Juzi ulisema wanaume mmeumbwa matesoHizi habari nahisi mda wangu ushapita Saint Anne, vijana ni zamu yenu sasa! Yaani kwa uzee huu kupendwa labda pesa ihusike, pesa yenyewe sina...basi tuwaachie vijana na wazee wenye pesa.

Sijaona juu bana fanya namna ... Nataka mbele kwa juu

Performance matters,, tutafute vokabulali za kitaa na maneno magumu,, yatakayotufanya tule ban forever humu JF
Naaaaah,,Kisa?
Si utajikomoa mwenyewe?

Eeh sikawi kupoteza amani yangu.. kwaiyo biashara ya shamba imekufa 😁😁Hahahah basi sawa..
Sema hazibadiliki sana hii ni gregory2000 itakayokuja ni gregory4426Ili mje na id mupya!!