Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumechatika sana bila picha hebu tupate Tangazo kutoka kwa wadhamini wetu tafadhali
2AA28758-4F28-4F3F-8CE3-08E8CB6249D2.jpeg
 
Hahaha, nimetoa mfano tu mkuu. Kimasihara inakuja automatically, huwa haipangwi na sidhani mtu anaweza kutoa boko/kimasihara kila mwezi, na huwa wadada hawatoi kimasihara, ni anaamua kabisa kuwa nampa huyu...
Teh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
 
Back
Top Bottom