Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nime date na wanawake tofaut toka JF na tuka achana ila hatukuachana kisa walikua magume gume,no way Kuna mambo tu tulikubaliana kwa pamoja kutokubaliana,so we are friends And Perfect Friends (kuna mmoja anapenda sana ni surprise) anajijua...

nina list ya perfect lovers toka hapa hapa JF ila mzinguaji ni mimi,wajua eeeh sio wao(ni mrafki zangu up to date) Wanasoma hii comment.

Sikurupukagi ninapo select someone wa kumvulia nguo zangu aone utupu wangu,huwa natumia Degree zote za darasani na za Duniani, hivyo sijawahi date gume gume (never).

so reymage comment zangu za nyuma ni reference toka kwa maswaiba ya watu ninayoyaona kuptia thread mbali mbali ila sio reference toka kwangu,Hapa naandika am in a relation na sweet manka toka humu humu JF naomba tu Mungu nyoka asinidanganye round hiii maana na mimi..
hii mada inakoelekea sio kuzuri. Iishie hapa tyuuh.
 
Ushangae umetajwa, sijui utakimbilia wapi kujificha JF watu hatujuani ila ukiona tu TAG roho inadunda kama vile watu wamejua unapolala na kuamkia
aaaaah sasa ktk watu walio huru hapa JF ni mie. Yaan niko huru mnooo,. Sina hata mtu aliyewahi niona live,
Watu washushe hizo list zao, mie ntakua mtazamaji.
 
Let's dig in
C360_20220327-123745-15.jpg
 
Back
Top Bottom