Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Jibu si nne hapo au🧐
Jibu si nne hapo au🧐
Hii dhana au katabia ka jamii kumuona Mwanamke akifika umri fulani anastahili kuolewa ina sababisha ndoa za ajabu katika jamii yaani naolewa kwa sababu jamii itanichekaTeh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
Aisee boss ledi huko kwako wote ni pisi kali tu yaani[emoji91]Anakusalimia sana!!View attachment 2166049
Last born kwetu huyo!!Aisee boss ledi huko kwako wote ni pisi kali tu yaani[emoji91]
Tuone na picha yako sasa ya leo
Aiseeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Last born kwetu huyo!!
Ni notions za watu wasiojielewa tu, sio kila mtu ataoa/ataolewa. Halafu kuna watu wana maamuzi yao tofauti na wengine, mbona wewe umesema kubanjuana sio mambo yako[emoji23]unataka tukuchukulie wa tofauti?Teh kumbuka bongo mwanamke akifikisha miaka 30 hajaolewa anachukuliwaje? Na kwanini achukuliwe hivyo?
🤣🤣🤣🤣🤣 Anne wee ni chizi ujueAiseeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii familia iliumbwa mapema kabisa baada ya chai[emoji91]
Kipenzi vipi tena jamaniii…JF!!!
JF!!!
JF!!!
nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.
Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
👷♂️👷♂️👷♂️ Boga eeehJibu si nne hapo au🧐
Boga moja la masika 🙊
Jawabu ni simple,, don't give a damn,, olewa unapoona uko tayari,, usisikilize jamii inachosemaHii dhana au katabia ka jamii kumuona Mwanamke akifika umri fulani anastahili kuolewa ina sababisha ndoa za ajabu katika jamii yaani naolewa kwa sababu jamii itanicheka
Pole sana.. kama una date na boga 😎😎Boga moja la masika 🙊
😬mtaalam nimekokotoa hapo👷♂️👷♂️👷♂️ Boga eeeh
Na ndio maisha ninayo ishi japo wengi hawawezi hiliJawabu ni simple,, don't give a damn,, olewa unapoona uko tayari,, usisikilize jamii inachosema
Mimi mwenyewe ndiye bogaPole sana.. kama una date na boga 😎😎
Boga + Boga = 🤯🤯🤯 inasikitisha sanaMimi mwenyewe ndiye boga
Hesabu kama hizo mimi nafumba macho nikifumbua jibu lishapatikana😬😂😀😀😀😀 kichwa kingefuka hicho 😁😁
wenye vichwa. vyetu vya kihuni kihuni tumeishatoboa tundu la kutolea moshiView attachment 2166056
🤣🤣🤣🤣 kwani yule ‘Nnn’ ni boga? Hapana nakataaBoga + Boga = 🤯🤯🤯 inasikitisha sana
😀😀😀😃😃😃 na mie naonaHesabu kama hizo mimi nafumba macho nikifumbua jibu lishapatikana😬😂