Tatizo process ya upatikanaji 🙊 sijakuwa bado vizuri 🙈🤣Hahahaa... preg ni baraka unazaa zako mapema unakula maisha tu!!
PiganeniJF!!!
JF!!!
JF!!!
nimeita mara 3. Nasema hivi hii app inakoelekea watu watatoana damu, mie yangu macho tyuuh.
Huu ni mtori, tunywe mchuzi, nyama ziko chini.
Ni angalizo tyuuh.
Simple tu badilisheni mitazamo yenu juu ya huo utofauti (ambao hauna uhalisia) mliouweka kwenye ngono kati ya mwanaume na mwanamke! Vinginevyo endeleeni kulalamika kuwa mnabaniwa!Kimasiraha.. unatakiwa ku perform ili uwe kikosi A.. shida ya kimasihara ukicheza chini ya kiwango kocha anakupiga bench tena
shida ni kutojua unae date nae au ku hang nae upeo wake,Kasoro yenu wadada n 1 tuYaani haiwezekani watu mpeane vizuri tu kiutu uzima halafu mkitoka hapo wanaume mnakuja na zile lugha zenu utasikia eti mwanamke ukishamkojolea hana thamani tena aseee
Parachichi ni zuri , nalipenda kwa namna zote ‘ kulia kwa ubwabwa/ machalari/ makande…Navyopenda parachichi sasa..
Nauza jumla na leja yale super.. tuna deliva hadi ulipo 😎😎Navyopenda parachichi sasa..
Parachichi ni zuri , nalipenda kwa namna zote ‘ kulia kwa ubwabwa/ machalari/ makande…
Kwenye juice na kulila kama tunda.
Haliboi hakika


Usinichekee kisa umeniona na parachichiDogo![]()
Hahahaaa sema Hujaamua tu....Tatizo process ya upatikanaji 🙊 sijakuwa bado vizuri 🙈
Sasa kwa mtindo huo tukisema eti mwanamke ampe kimasihara kila mwanaume ambaye ni rafiki yake hadi kufikia miaka 30 unafikiri idadi itakuwa ni hiyo 10? Kwamba mwanamke hadi anafikia miaka 30 atakuwa na marafiki 10 tu wa kiume eti?Sio ajabu hata kidogo mkuu, kwa mwanamke ku-date 5-10 men hadi kufikia 30yrs ni kawaida tu kwa sasa. Kwanza wanaume hawana mda wa kuwasema wadada siku hizi.
😁😁😁 Love you my sweetheart sister.. kazia hapo hapo.. uje umpee mmoja tu mwenye akili njema, tabia njema.. ila hata humu wapo.. sema kujua hii na ile ndio mtihani.. But palipo na kibaya kizuri kipo.. bahati nzuri sijawai bahatisha gori la jf.. siku nikiotea nitatangaza hatariSimple tu badilisheni mitazamo yenu juu ya huo utofauti (ambao hauna uhalisia) mliouweka kwenye ngono kati ya mwanaume na mwanamke! Vinginevyo endeleeni kulalamika kuwa mnabaniwa!
Nauza jumla na leja yale super.. tuna deliva hadi ulipo![]()


😁😁😁 wewe mteja mzuri sana, njoo uthamishe shamba lenyewe kwanza.. bei hatuwezi shindanaNikitaka shamba zima shilingi ngapi?![]()
Piganeni
Mshindi aje nimpe yoghurt
kama hamuwezi kupigana basi ishini kinafki. Kwani si ni life tu na process zake
Naingilia kumbe unanisema miewaaa
Nitakujia ndotoni nikunyonge.





sasa unafiki km hatuwezi? Ninae 1
Nasaka mapacha now
Nifunge mtambo 🚶🏻♀️
Ninae 1
Nasaka mapacha now
Nifunge mtambo 🚶🏻♀️