Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa kwa mtindo huo tukisema eti mwanamke ampe kimasihara kila mwanaume ambaye ni rafiki yake hadi kufikia miaka 30 unafikiri idadi itakuwa ni hiyo 10? Kwamba mwanamke hadi anafikia miaka 30 atakuwa na marafiki 10 tu wa kiume eti?
Hahaha, nimetoa mfano tu mkuu. Kimasihara inakuja automatically, huwa haipangwi na sidhani mtu anaweza kutoa boko/kimasihara kila mwezi, na huwa wadada hawatoi kimasihara, ni anaamua kabisa kuwa nampa huyu...
 
Wapendwa katika Bwana
Mjadala ni mkali..pozeni koo na maji.
IMG_20220327_162235_791.jpg
 
Back
Top Bottom