Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi naamini mpenzi sahihi ama kinyume chake anapatikana popote...Kasisitiza tuwe makini yupo sahihi lakini nimuambie kwamba umakini unahitajika pia hata nje huko sio JF tu.
Kabisa!maana wapo waliooa wapenzi wao wa utotoni na wakatendwa wapo wamekutana badoo wakaoana.Africa ndo mpk Leo tuna mambo za kukutana kitaa au vijijini wenzetu na ubusy wa kazi ht jirani hana wanapata wenza social media na wanaisho vzr tu

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Muambie wewe!mi nshachoka kusema!!ila najua jf watu wapo wamezaa na kuoana kwa ushahidi wa picha kabisa kuna kapo km sio mwaka wa 16 huu wako ndoani basi wa 15 hao nawajua walintimuia mpk picha zao,acha mahusiano mengine yanayoendelea mpk kuzaa humu yapo pia!

Wanaoona jf ni kupoteza muda waone tu ila mi napaheshimu sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
haya sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako aseehh!na aina ya magumegume unayoyapata

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nime date na wanawake tofaut toka JF na tuka achana ila hatukuachana kisa walikua magume gume,no way Kuna mambo tu tulikubaliana kwa pamoja kutokubaliana,so we are friends And Perfect Friends (kuna mmoja anapenda sana ni surprise) anajijua...

nina list ya perfect lovers toka hapa hapa JF ila mzinguaji ni mimi,wajua eeeh sio wao(ni mrafki zangu up to date) Wanasoma hii comment.

Sikurupukagi ninapo select someone wa kumvulia nguo zangu aone utupu wangu,huwa natumia Degree zote za darasani na za Duniani, hivyo sijawahi date gume gume (never).

so reymage comment zangu za nyuma ni reference toka kwa maswaiba ya watu ninayoyaona kuptia thread mbali mbali ila sio reference toka kwangu,Hapa naandika am in a relation na sweet manka toka humu humu JF naomba tu Mungu nyoka asinidanganye round hiii maana na mimi..
 
Ameen !!;Mungu akubariki
Ahsante kwa ushuhuda

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Haha hivi kwani urafiki wa kawaida tu huwa hamuuwezi? Yaani mngejua vile wengine tunawaheshimu hata mkiwa marafiki zetu tu wala msingekuwa mnajisumbua kutupiga sound wanawake wengi ili mprove uanaume wenu kama wenyewe mnavyosemaga!
Mara ya mwisho kutongoza sijui ilikua 2014 ile kama sikosei,Haimaanishi sijawahi kuwa na mpenzi tangu huko, ila nilikuja gundua Kupitia "urafiki" kila kitu hupatikana ndani yake.

Mkipendana hamna haja ya kuambiana,inatokea tu mshakua wapenzi,usiku simu kama zote,daytime kujuliana maendeleo ya umeshindaje uko wapi huja Automaticaly.

Yani kuptia urafiki kila kitu hupatkana ndani so once nakuhitaji i dont need to tell you anything,Tutakua marafiki sana tuuu kama ilipangwa automaticaly tu ntaona vitu vinajipa double double,haina kutongozana kbsa..

Naogopa kwanza hivi naanzaje mtongoza Heaven Sent but haimaanishi kisa simtongzi eti ndio simpendi au simtamani au simtaki,ila siwezi yaniiii basi tu siweziiii Mapenzi ya automaticaly n mazuri kuliko yale ya kuanza kupanga ingiza gia no 1, haya mlima huo weka gia no.2 haya matope hayo ingiza fourwheel,aaaah inaboa na inachosha...

Raha ya Love ujiskie upo duniani ni kufata steps,mapenzi mahusiano n kama kupanda ghorofa ngazi hutakiwi ruka ngazi hata 1 wakati unataka yaanzisha n lazima ngazi zote uguse hadi ufike floor unyoendea.

Heaven Sent nimekutolea mfano maana huwezi nichamba,mama mtumishi hashushui, Kuna mtu ningemtolea mfano ila nmehisi anaeza nijia na kauli ya Lissu kwa mama kuwa Atamke hadharani.

nikahisi namimi ntaaambiwa nitamke hadharani,nikane kuwa si kweli 😂 BUT Lovelucky wewe ni rafiki wa wote si kweli? basi wakikutongoza wambie wakutongoze hadharani kama faiza foxy alivyowafungulia uzi wote wanaomtongoza😅
 
Back
Top Bottom