Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ujivunie a man/woman from selfika,sishauri kabisa na recommend huu uzi kwa wanaotafuta Marafiki wale wa chitchat,not otherwise.

unasaka mpenzi mkadakana wote kwenye huu uzi,basi makesure una spea tairi (usije tuabisha kwa machozi huko mbeleni) i guess huu uzi umekaa kimasihara masihara sana,ukiuchukulia serious Shauri lako.

ingia hapa kurefresh,kuzingua,kutania, have fun ujiskiavyo After hapo log out muachie mshana uzi wake,sasa jipendekezeni mko serious sanaaaa muhamie na whatsapp mka video call kbsa..

Sema i love this ka uzi,kwasababu (as i said) people are genuine, Sema mdada akinpenda mimi ni mkweli jamani. (nina wake wa 5 na watoto 6) lets all be clear to each other Uongo Mwikooo
asante mkuu nimekusoma kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom