Hata nikiondokewa na mpendwa wangu, Tena mali zangu zote zijapo potea, Usiniache nimekutegemea Bwana wangu, Unishike kwa mkono wako ewe Yesu,
Minajua hiyo ni moja ya mapito yangu,
Kwa huruma zako utanipa tena maradufu, Oh! Yesu
Ninachojua mimi Bwana, Hautanicha kamwe,
Nikipita kwenye shida, Hautaniacha kamwe,
Na jamii ikinitenga, Hautanicha kamwe, Marafiki wakimbie, Hautaniacha kamwe Hata mume aniache, Hautaniacha peke yangu,
Na mke wangu akimbie, Hautaniacha kamwe,
Wazazi wangu wanifukuze mimi, Hautanicha kamwe,
Kazini wanifukuze, Hautanicha kamwe,
Na fitina nifanyiwe, Hautanipungukia Bwana,
Hata uongo ninenewe, Hautaniacha peke yangu niaibike Bwana,
Oh! Yesu.