Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutakuja huko utakakokimbilia tukudabue kwa nguvu na kukurudisha hapa. Kwani ligi za Barabarani unaziweza mjukuu? Ukiachwa kwenye mavumbi si unaweza hata kulia?
mie tena sasa, mbna nishazoea maisha ya mikiki mikiki,
Tatizo tyuuh ni kwamba mie sasa nikianza kurudisha makombora naonekana mbayaa.

Hebu selfika bas mbna wee muongo hivyo.
 
Mabaharia huwa wanasema kuwa hainaga makombo. Hata kama walishapita naye so what? Kwani unataka kuoa? Si na wewe unapiga tu na kusepa unawaachia wanaokuja nyuma yako?

It is like a swimming pool. Don't ask who swam before you or who will swim after you. Just swim when it is your turn...and pee in it if you can...and then leave!
ila wee babuuuh khaaah.
 
Brother unakuta tayari umempa moyo , yaani umempenda, umewekeza nguvu, hela, moyo , na pengine muda. Unakuja kushtuka Baade kidogo kwa signal ndogo ndogo fulani amemlala, fulani amemlala na fulani pia!!!!
Brother najua unajua ukiweka moyo sehemu alafu ukutana na matarajio kinyume!!!

Ila mwanamke aisee mpaka anamaliza safari yake ya maisha anakuwa amepitiwa na wengi sio kidogo.
yaan unaweka moyo kwa mchepuko kiasi hiko? Basi muoe awe bi mdogo tyuuh. Uwiiiiiiiih
 
Umeandika kwa unyonge na hisia sana bro. I feel you lakini ni mambo ya kawaida tu mbona? Unakausha tu na mambo yanaendelea. Ukiona majamaa yaliyomla bado anataniana nayo kiroho kinakuuma ila unajikaza. Ndo uanaume huo! Au yakikushinda unapiga chini na unapumzika mitandao kwa muda
JF Hoyeeeeeeeeeeeeh.
Watu wanazagamuana tyuuh, ni mwendo wa foleni tyuuh.
Akishuka huyu yule anapanda, akipanda yule huyu anashuka.
Hahahahah akaaaah sitakiii. Lol
 
Hapana shos leo sijaenda!! Miss you more shos naona selfika dizain imevamiwa!!
Selfika as family we were and are so very happy sema vivuruge sasa!! !!!
Hivi shos wee dini gani kwanza !
kwa kweli kuna new comers humu ndani. Ni full uvamizi yaan.
Hahahahah watu wa humu ni kuvuruga tyuuh.
Shouzzzzzzzz mie mkristo RC.
 
20220327_101443.jpg
 
Back
Top Bottom