Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

9.8ms squared tunaanzia wapi kuchoma vichaka
IMG_20220326_164002_258.jpg
 
Kuna wawili hapo imebidi tu niscreenshot hii comment niwatumie whatsapp vinginevyo hizo tags zako wasingeziona zingeenda bure tu. Na nimewatumia maana hata mimi mwenyewe siyo siri nimemiss kuwaona humu.

Kiukweli mwenyewe huu uzi umenifanya nifahamiane na baadhi ya watu ambao nilikuwa nawakubali sana humu na nilikuwa sijui hata kama watakuja kukubali kufahamiana na mimi. But leo hii tumefahamiana and we are friends.

Sijawahi fahamiana na mkaka huku then akaja kuwa mpenzi wangu hilo nilishakataa na halikuwa lengo langu since the very first day najiunga jf na nashukuru Mungu nimefanikiwa hilo. So hakuna Mkaka ambaye nimewahi date naye humu.

Wengi niliofahamiana nao ni wanawake and some of them are like sisters to me now yaani tumekuwa kama ndugu. Kwa wanaume ambao nimefahamiana nao walionitongoza urafiki ulikufa hapo hapo kwa sababu sikutaka mahusiano.

Mie nilitaka urafiki tu na kama unavyojua wanaume huwa wakitongoza mwanamke akawakataa wanapotezea. Wenzetu huwa hawataki habari za kuwa friendzoned so automatically mawasiliano yanakufa maana hamna cha kuongea tena.

Na mimi ndicho huwa ninachotaka kwamba kama mwanaume ukiona hauwezi kuwa rafiki kwangu basi njia nyeupe kiroho safi tu. Maana sitaki mahusiano na vile vile huwa sibembelezagi mtu kwangu ni either uwe rafiki au salam zao tu na siyo kwa ubaya.

Ofcourse wapo wanaume wachache ambao Hawana tatizo kuwa friendzoned maana wanajua siyo sifa kukulana na kila mwanamke unayefahamiana naye na wanaume wa hivyo mimi huwa nawasalute ile mbaya yani. All in all this is JF mkuu.
Unajiwahi mapema unajiwekea shield hatukutongozi mkuu
 
Ngoja mimi nisiongee leo
Haha ongea tu mama mchungaji mimi hili jambo muda mrefu sana huwa natamani nilianzishie uzi sema nakosa maneno mazuri ya kuweka ili nieleweke

Seriously mimi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume zaidi kuliko wa kike yaani kwa lugha rahisi napenda zaidi kuwa na washikaji kuliko mashost

Ila tatizo moja tu hawa kaka zetu wanapofeli wanadhani kwamba kila mwanamke anapenda hayo mambo ya friends with benefit ama kukulana kimasihara kama wenyewe wanavyoita kumbe wengine wala hatuentertain hayo mambo
 
Umetuahidi ya kwamba wawili watatu, kwa jina lako wakija,
Utawabariki, kwa hivi leo twapiga magoti nyumbani pako.

Yesu uje kwetu utubariki;
Yesu uje kwetu uwe karibu.
Umekuwa Nasi Siku Nyingine
Tunakuhitaji Mpaka Mwisho.
Uje Mkombozi; Tupe Neema
Tusikie Yesu Utubariki.

Yesu uje kwetu utubariki
Yesu uje kwetu uwe karibu
 
Natokea Ubungo
Ukivuka Kibamba kwa Mangi unashuka darajani upande wa kulia ilipokuwepo Wilaya ya Ubungo utaona mabanda, ila kama una usafiri binafsi unavuka daraja la juu la Mloganzila unakuja upande wapili wa kulia ukifika service road teremsha kama unaenda Wilaya ya zamani kabla haijahamishiwa Luguruni utaona mabanda kibao
 
Back
Top Bottom