Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.

Point yangu ilikuwa kuna wakati itakubidi usubiri mtu atamke ndiyo umwambie you are not interested, au kama itatokea kwenye stories mtaongelea mahusiano then unaweza kumpa hint au kwa wenye zile approaches zao za kidwanzi; wale unawachana tu hapohapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi huyooo, hujawahi niangusha yaan
 
Mnoo!I have male friends nimewapata humu hawajawahi hata kuonesha dalili za kutongoza hata siku moja na wengine ukiwakataa wanaelewa sana tu na heshima inabaki pale pale mnapeana michongo mingine tu!!
Kuna wale wanaamini mitandaoni ndo kuna mabinti wanapatikana kirahisi wkati sio kweli

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nipo msukuma nivile nasoma tu na kupita mie sio muongeaji kabisa.... watu wana freedom of expression msukuma let them speak wasisahau kuutendea haki uzi tu..
Mijadala tu leo siku nzima yaani. Hebu angalau selfika hata kama ni picha ya zamani tubadili mwelekeo kidogo.
 
Haha ngoja niendelee kufikiriafikiria nikiona it's necessary kulianzishia uzi nitafanya hivyo au pia unaweza anzisha hata wewe labda ndiyo utaeleweka vizuri

Hata mimi ninaamini urafiki bila ngono kati ya me na ke unawezekana kabisa ila tatizo ukisikiliza maneno ya wanaume wengi dada unaweza ukasikitika sana asee

Suala la kukulana kimasihara katika jamii ambayo wanaume wanajua hadi kusoma mileage za papuchi bado sana sababu mwisho wa siku anayedhalilishwa ni mwanamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiih
 
Hehe wanakuambia eti unatakiwa ujiongeze kwamba mwanaume akikuomba namba basi ujue hakuna kingine anachohitaji kutoka kwako zaidi ya pale kati tu! Pathetic!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah we
 
Hehe halafu mwisho wa siku mwanamke anaitwa malaya while mwanaume anaitwa kidume! Hivi vichekesho vikogo kwenye haya mabara yetu ya giza tu Mungu Atusaidie sana kwa kweli!
Wallah leo nacheka km chizi hapa uwiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sana my dear yaani jinsia ambayo inajisifia kuwa inatumia logic na siyo hisia nilitegemea itumie logic hata kwenye mambo madogo tu kama haya

Kwamba other things being constant kwenye tendo linalohusisha watu wawili hauwezi kusema mmoja anakosea na mwingine yuko sahihi that is not logic

Same applies to wanavyotukana single mothers na kuona single fathers wako sahihi kana kwamba single mother alizaa na kiumbe kingine na single father alizaa na kiumbe kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada leo umechachuka, nakuelewa pin zako ktk mada ya hivi hahahah
 
Hahahaaa huo umafia umeanza lini [emoji1787][emoji1787]

Mie kingoni wala sikijui my dear ni hilo neno tu na ni vile kuna mabasi yanaendaga huko kusini yanaitwa tavavili niliambiwaga ni kingoni maana yake tuko wawili

Ngoja tumuite cocastic mlongo aje atufundishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tavavili, maana yake tupo wawili.
 
Back
Top Bottom