Hehe halafu mwisho wa siku mwanamke anaitwa malaya while mwanaume anaitwa kidume! Hivi vichekesho vikogo kwenye haya mabara yetu ya giza tu Mungu Atusaidie sana kwa kweli!Rafiki mama tu.. nyie wengine inapotokea nafasi ni mwendo wa![]()
MmhRafiki mama tu.. nyie wengine inapotokea nafasi ni mwendo wa 🔥🔥🔥
Unafaa kuwa mwanasiasa!Ninao wanawake kadhaa maishani ambao ni rafiki wema sana kwangu,najivunia sana kufahamiana nao.
Hongereni wote mlio rafiki wema,MUNGU awabariki na kuwazidishia zaidi ya uhitaji wenu,tunawapenda sanaa.
Close friends are truly life’s treasures. Sometimes they know us better than we know ourselves. With gentle honesty, they are there to guide and support us, to share our laughter and our tears. Their presence reminds us that we are never really aloneView attachment 2165320



kwa kweli , bado tuna safari ndefu .Hehe halafu mwisho wa siku mwanamke anaitwa malaya while mwanaume anaitwa kidume! Hivi vichekesho vikogo kwenye haya mabara yetu ya giza tu Mungu Atusaidie sana kwa kweli!
ImagineRafiki mama tu.. nyie wengine inapotokea nafasi ni mwendo wa![]()
😁😁😁Naam wangoni wenyewe wanasemaga "tavavili"![]()
Honestly speaking,hii kitu haijawahi na haita wahi kuja kuwa passion yangu, never. Siichukii siasa,ila nawachukia sana wanasiasa,ni watu wenye ndimi mbili,yaani jana aliwaambia hili,kesho analigeuza.Unafaa kuwa mwanasiasa!![]()
Unataka uwe na rangi ya mtume gani tena my dear maana kama ni ya mtume huyu tunayemjua mbona tayari unayo? Hebu hayo mafuta nigawie mimi aseee!Thanks admirer
Kwahiyo yale mafuta ya kusababisha rangi ya mtume niyagawe...?![]()
Perhaps You are rightHuwezi kuelewa as hayo mambo kwako ni mbingu na ardhi.
Naona leo uzi umejaa ishu za mitongozo, male besties na friendzones. Kulikoni?
View attachment 2165318



Kama sijaihitaji mpaka umri huu sasa hivi ya nini???


Aaaaaw that's cutesio poa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naona leo uzi umejaa ishu za mitongozo, male besties na friendzones. Kulikoni?
View attachment 2165318
Thanos: i am inevitableHaha dada ana nguvu huyu hatari. Nothing beats the "Avengers...Assemble!" scene.
Sio hapa tu,, Hata huko nje,, kuna whores na studHehe halafu mwisho wa siku mwanamke anaitwa malaya while mwanaume anaitwa kidume! Hivi vichekesho vikogo kwenye haya mabara yetu ya giza tu Mungu Atusaidie sana kwa kweli!
Yeahh...what you are saying is pretty cute aswell!😏Aaaaaw that's cute
But never underestimate the power of unexplored territory
Na wewe unaenda kumgawia nani??🤣🤣🤣🤣Unataka uwe na rangi ya mtume gani tena my dear maana kama ni ya mtume huyu tunayemjua mbona tayari unayo? Hebu hayo mafuta nigawie mimi aseee!
Sana my dear yaani jinsia ambayo inajisifia kuwa inatumia logic na siyo hisia nilitegemea itumie logic hata kwenye mambo madogo tu kama hayakwa kweli , bado tuna safari ndefu .