Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
kanisa nitakapoenda ni haya kisabato sema sasaNaona umefuta Ile comment yako ya church tour; be careful usije ukaishia kwa matapeli wa Imani
naenda makanisa ya mbali na hapa ,nafanyaga hivi .
kanisa nitakapoenda ni haya kisabato sema sasaNaona umefuta Ile comment yako ya church tour; be careful usije ukaishia kwa matapeli wa Imani
Aah hapo sawa mdogo anguKanisa naloenda ni haya kisabato sema sasa
naenda makanisa ya mbali na hapa ,nafanyaga hivi .
Why uanze kugombana
List imetulia , movie kali zipo hapoAngalia hii list vizuri then useme its boringView attachment 2165200
Kimasihara haijakamilishwa hapo ugomvi lazimaTafrani tupu. Sijui tatizo ni nini jamani
They are stupidTafrani tupu. Sijui tatizo ni nini jamani
Mnoo!I have male friends nimewapata humu hawajawahi hata kuonesha dalili za kutongoza hata siku moja na wengine ukiwakataa wanaelewa sana tu na heshima inabaki pale pale mnapeana michongo mingine tu!!They are stupid
Nacheka kama mazuriKimasihara haijakamilishwa hapo ugomvi lazima
😬😂😂Nacheka kama mazuri
Ndicho ninachofanya mkuuinakuwa nzuri zaidi kama ukiwaambia kabisa mwanzoni before having their numbers kuwa right now hauko interested in dating them,,


Nadhani Maxence Melo ungeongeza ktk list ya Emoj ukaweka na ile emoj ya kujilamba
Mnoo!I have male friends nimewapata humu hawajawahi hata kuonesha dalili za kutongoza hata siku moja na wengine ukiwakataa wanaelewa sana tu na heshima inabaki pale pale mnapeana michongo mingine tu!!
Kuna wale wanaamini mitandaoni ndo kuna mabinti wanapatikana kirahisi wkati sio kweli
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

PoleDo the same alwaysNdicho ninachofanya mkuu![]()
Kina kina sisi ambao ku-flirt ni sehemu ya nature yetu...basi mtu akija kizembe anajua usha catch feelings.Nimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.
Point yangu ilikuwa kuna wakati itakubidi usubiri mtu atamke ndiyo umwambie you are not interested, au kama itatokea kwenye stories mtaongelea mahusiano then unaweza kumpa hint au kwa wenye zile approaches zao za kidwanzi; wale unawachana tu hapohapo
Sasa mbona nautamani ugali kabichi wako CONTROLA ....ila iwe imechanganywa na nyama yenye mafuta kidogo.🤤🤤🤤Nadhani Maxence Melo ungeongeza ktk list ya Emoj ukaweka na ile emoj ya kujilamba
ile ya mshangao (wow) ipishe kidogo ije hii emoj😋 maana kuna watu hawajali kbsa kuwa
kuna wengine tumetoka kula ugali na kabichi
🤣🤣🤣 Hatari sanaKina kina sisi ambao ku-flirt ni sehemu ya nature yetu...basi mtu akija kizembe anajua usha catch feelings.
Kina kina sisi ambao ku-flirt ni sehemu ya nature yetu...basi mtu akija kizembe anajua usha catch feelings.


