CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
I know! right!?Yeahh...what you are saying is pretty cute aswell!![]()
It's like showing the picture of a tiger to a wildebeest,,,I know! right!?Yeahh...what you are saying is pretty cute aswell!![]()
It's like showing the picture of a tiger to a wildebeest,,,Kweli kuwa mwanaume kazi sana! Unapenda kitu, unajiongelesha weee...then unalimwa block![]()







Naona leo uzi umejaa ishu za mitongozo, male besties na friendzones. Kulikoni?
View attachment 2165318








Hahahaaa huo umafia umeanza lini
Nifundishe kusema "We ni mjinga" ila kwanamna ambayo nikitabasamu mtu adhani namsifia![]()


Boss Lady angekuwepo hapa usingeona mijadala hii ya ajabu ajabu. Picha yake moja tu inazima mijadala yote mara moja. Sijui leo kapotelea wapi. Shida tupu yaani!
Nayapaka mwenyewe ati maana hii rangi yangu siyo poaNa wewe unaenda kumgawia nani??![]()


Used to believe we all have preferences, types and whatnot when it comes to these things kumbe sio...🙄🙄I know! right!?It's like showing the picture of a tiger to a wildebeest,,,
Tumeambiwa wanataka wawe marafiki zetu tu tukutongoza tunaliwa block aisee wacha tujikite kwenye kilaji tuNaona leo uzi umejaa ishu za mitongozo, male besties na friendzones. Kulikoni?
View attachment 2165318

Sana my dear yaani jinsia ambayo inajisifia kuwa inatumia logic na siyo hisia nilitegemea itumie logic hata kwenye mambo madogo tu kama haya
Kwamba other things being constant kwenye tendo linalohusisha watu wawili hauwezi kusema mmoja anakosea na mwingine yuko sahihi that is not logic
Same applies to wanavyotukana single mothers na kuona single fathers wako sahihi kana kwamba single mother alizaa na kiumbe kingine na single father alizaa na kiumbe kingine
Haka katoto jamani
Oooops hujanielewaUsed to believe we all have preferences, types and whatnot when it comes to these things kumbe sio...
Haya ngoja sie wengine tuendelee kuongeza washkaji na yetu na nyie muendelee na yenu![]()

Bora aje tu aiseeBoss Lady angekuwepo hapa usingeona mijadala hii ya ajabu ajabu. Picha yake moja tu inazima mijadala yote mara moja. Sijui leo kapotelea wapi. Shida tupu yaani!
Toka enzi za pontio pilatoInauma sana vile mwanamke anavyochukuliwa kwenye jamii . Sijui lini mambo yatabadilika , mwanamke akiachana na mumewe , watu wanaona yeye ndo mwenye makosa .. watu hawangalii kabisa tatizo lipo kwa nani .
Mwanamke atamlinda mumewe kwa maombiInauma sana vile mwanamke anavyochukuliwa kwenye jamii . Sijui lini mambo yatabadilika , mwanamke akiachana na mumewe , watu wanaona yeye ndo mwenye makosa .. watu hawangalii kabisa tatizo lipo kwa nani .
Naona leo uzi umejaa ishu za mitongozo, male besties na friendzones. Kulikoni?
View attachment 2165318
Nakataa 😬😬Nayapaka mwenyewe ati maana hii rangi yangu siyo poa![]()
Preach! granddad preach!
Pontio Pilato? Nooo!Toka enzi za pontio pilato
Wakati mwingine inabidi 😁😁😁Hahahaaa huo umafia umeanza lini
Mie kingoni wala sikijui my dear ni hilo neno tu na ni vile kuna mabasi yanaendaga huko kusini yanaitwa tavavili niliambiwaga ni kingoni maana yake tuko wawili
Ngoja tumuite cocastic mlongo aje atufundishe