CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Ntakuja kuwaonaWanaimba vizuri hao
Ntakuja kuwaonaWanaimba vizuri hao
Em changia tu; tunasaidiana kimawazoNafatilia comment zenu natamani nichangie lakini basi![]()
Huwa najua,, nikitaka kutongoza gia haibadiliki directly tu,, kuna vitu huwa vinaanza kubadilika,, siwez tongoza bila kuweka mazingira vizuri,, and presumably najua girls hujua kuwa kituo kinachofuata ni kutongozwa,, maybe kama wenu hubadili gia angani
Comment zako zimejitosheleza mpendwa labla wenzetu wanaweza elewa kuna mda unatamani urafiki na mtu ila inakuwa ngumu.
AmenOoh vyema ..
Ngoja nitaanza church tour hapa nione kwingine pakoje ,kusali kanisa moja toka umezaliwa upo tu hapo hapo ... sometimes inabidi utoke ujumuike na wengine mmsifu Bwana .
OkayAmen
.Mostly ni actionOkay
ukiniona tena nishtue nahitaji movie na hakika unazo tena nyingi.
Sounds boringMostly ni action
Neno boring litoeSounds boring
Bora ingekuwa drama , horror , comedy na thriller .
Nimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.Huwa najua,, nikitaka kutongoza gia haibadiliki directly tu,, kuna vitu huwa vinaanza kubadilika,, siwez tongoza bila kuweka mazingira vizuri,, and presumably najua girls hujua kuwa kituo kinachofuata ni kutongozwa,, maybe kama wenu hubadili gia angani
Watu wanataka tu kukulana daahComment zako zimejitosheleza mpendwa labla wenzetu wanaweza elewa kuna mda unatamani urafiki na mtu ila inakuwa ngumu.
Naona umefuta Ile comment yako ya church tour; be careful usije ukaishia kwa matapeli wa ImaniHaha
Kwangu mimi ndo siwezi kuziangalia
Na ukimueleza no kukulana ni ugomvi una anzia hapo😬Watu wanataka tu kukulana daah
That was my pointNimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.
Point yangu ilikuwa kuna wakati itakubidi usubiri mtu atamke ndiyo umwambie you are not interested, au kama itatokea kwenye stories mtaongelea mahusiano then unaweza kumpa hint au kwa wenye zile approaches zao za kidwanzi; wale unawachana tu hapohapo
Why uanze kugombanaNa ukimueleza no kukulana ni ugomvi una anzia hapo![]()
Tafrani tupu. Sijui tatizo ni nini jamaniNa ukimueleza no kukulana ni ugomvi una anzia hapo😬