Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Changamka changamka basi 🤗Haka katoto jamani
Kananimotivate nitafute mtoto mapema kabla sijazeeka.
Changamka changamka basi 🤗Haka katoto jamani
Kananimotivate nitafute mtoto mapema kabla sijazeeka.
Let's keep it that way!!👊🏾👊🏾Oooops hujanielewa![]()
Yes ma'amLet's keep it that way!!![]()
Acha tu dada na tukiongea tunaitwa feministsInauma sana vile mwanamke anavyochukuliwa kwenye jamii . Sijui lini mambo yatabadilika , mwanamke akiachana na mumewe , watu wanaona yeye ndo mwenye makosa .. watu hawangalii kabisa tatizo lipo kwa nani .


Inaumiza jamani ..Toka enzi za pontio pilato
Sure tusije tukaanza kudanganyana bureWakati mwingine inabidi
Aje asaidie kuokoa jahazi![]()


Jaman nimepitwa, nilitoka kidogo.




kwan?Dada naomba nikutoe out, bill juu yanguKuna wawili hapo imebidi tu niscreenshot hii comment niwatumie whatsapp vinginevyo hizo tags zako wasingeziona zingeenda bure tu. Na nimewatumia maana hata mimi mwenyewe siyo siri nimemiss kuwaona humu.
Kiukweli mwenyewe huu uzi umenifanya nifahamiane na baadhi ya watu ambao nilikuwa nawakubali sana humu na nilikuwa sijui hata kama watakuja kukubali kufahamiana na mimi. But leo hii tumefahamiana and we are friends.
Sijawahi fahamiana na mkaka huku then akaja kuwa mpenzi wangu hilo nilishakataa na halikuwa lengo langu since the very first day najiunga jf na nashukuru Mungu nimefanikiwa hilo. So hakuna Mkaka ambaye nimewahi date naye humu.
Wengi niliofahamiana nao ni wanawake and some of them are like sisters to me now yaani tumekuwa kama ndugu. Kwa wanaume ambao nimefahamiana nao walionitongoza urafiki ulikufa hapo hapo kwa sababu sikutaka mahusiano.
Mie nilitaka urafiki tu na kama unavyojua wanaume huwa wakitongoza mwanamke akawakataa wanapotezea. Wenzetu huwa hawataki habari za kuwa friendzoned so automatically mawasiliano yanakufa maana hamna cha kuongea tena.
Na mimi ndicho huwa ninachotaka kwamba kama mwanaume ukiona hauwezi kuwa rafiki kwangu basi njia nyeupe kiroho safi tu. Maana sitaki mahusiano na vile vile huwa sibembelezagi mtu kwangu ni either uwe rafiki au salam zao tu na siyo kwa ubaya.
Ofcourse wapo wanaume wachache ambao Hawana tatizo kuwa friendzoned maana wanajua siyo sifa kukulana na kila mwanamke unayefahamiana naye na wanaume wa hivyo mimi huwa nawasalute ile mbaya yani. All in all this is JF mkuu.




Haha ongea tu mama mchungaji mimi hili jambo muda mrefu sana huwa natamani nilianzishie uzi sema nakosa maneno mazuri ya kuweka ili nieleweke
Seriously mimi napenda sana kuwa na marafiki wa kiume zaidi kuliko wa kike yaani kwa lugha rahisi napenda zaidi kuwa na washikaji kuliko mashost
Ila tatizo moja tu hawa kaka zetu wanapofeli wanadhani kwamba kila mwanamke anapenda hayo mambo ya friends with benefit ama kukulana kimasihara kama wenyewe wanavyoita kumbe wengine wala hatuentertain hayo mambo




ila dada una upiga mwingi mnoo.Me mwenyewe nimekutia katiJaman nimepitwa, nilitoka kidogo.
Kipindi gan kilikua?
Dada naomba nikutoe out, bill juu yangu
Umeongea kitu cha maana mno.
Em anzisha uzi siku moja; tusikie from men's perspective. Inawezekana sisi tumeshindwa kuwaelewa. Ila Mimi ninachoamini ni kwamba; urafiki wa dhati kati ya ke na me unawezekana kabisa, pasipo kuhusisha ngono.
Wakati mwingine unashindwa hata kumtreat me vizuri; maana ukimchekea tu anahisi huyu tayari ameshaingia laini, kumbe hata wazo huna




wee fidodido hebu soma hapa lol.Sasa yeye atajuaje kama huyo mtu atamtongoza? Imagine mtu kakusalimia tu; unaanza kumwambia "sihitaji mahusiano kwa sasa". Kwamba Kila me anakuja tu kukutongoza? Au mimi ndiyo sielewi haya mambo, najifanya msemaji wa wanaume?







Aisee hatariAcha tu dada na tukiongea tunaitwa feminists![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nipo msukuma nivile nasoma tu na kupita mie sio muongeaji kabisa.... watu wana freedom of expression msukuma let them speak wasisahau kuutendea haki uzi tu..Boss Lady angekuwepo hapa usingeona mijadala hii ya ajabu ajabu. Picha yake moja tu inazima mijadala yote mara moja. Sijui leo kapotelea wapi. Shida tupu yaani!
Huwa najua,, nikitaka kutongoza gia haibadiliki directly tu,, kuna vitu huwa vinaanza kubadilika,, siwez tongoza bila kuweka mazingira vizuri,, and presumably najua girls hujua kuwa kituo kinachofuata ni kutongozwa,, maybe kama wenu hubadili gia angani



sasa si ufafanue vizuri nawee.Na huo wimbo ni mzuri hasa video yake ile comedy napendaMe mwenyewe nimekutia kati
Ila ilikuwa ni kama katamasha flani, lit speech & lit live band.
Maua Sama alikuwa anaimba Zai’
Ameimba vizuri kweli