EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Kama unatoka Mbezi ukifika kwa Mangi usivuke daraja la juu la kwenda Mloganzila upande wa kulia.Chama ni kubwa kiongozi!
Ukitokea maili1 upande huo wa k ushoto ukivuka Gogoni unaingia K'Shule then K'Chama kama unapanda public transport waambie wakushushe Kibamba Chama ukiuliza unaletwa faster tu hata kwa mguu kama sio mvivu




