cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,289
Endelea sahiviMida Ile nilishambuliwa balaa kesho nitakupa vigezo vyote
Chuo washakula kichwa eeehniache kwani bas nawee,
Masomo gan tena? Aaaah
🙈🙈🙈mnyamwezi wangu upo?
SasaSio hivo shem uwe unachangamka ili mtu asijute kukaa siti moja nawewe buana!!
Dogo anakusalimia sana


Hivi kumbe kufinyiwa kwa ndani kuna madhara? Mzee Mrema wanamuombea mabaya tayari
View attachment 2163346











Nyoo muone 🤣🤣😂Umeziba sana nawee, toa emoj tumuonwle huyo jamaa
![]()
Ppork tu ☺sema tu unata bata la wapii 😊😊
Ile tour ya mbeya lini Tena nikupeleke ziwa nyasa matema beach
Nimejaa tele![]()
Unapotaka Malaika tutakwenda na vikadi vyote vya bank ukae navyo 😀😀😀Ppork tu ☺
🤣🤣🤣🤣 Moshi tuna mwenyeji hatuna?Yees hyo background view ndio hapo.
Utanipeleka eeh😘
Kuna umbali gan toka Moshi stand?
Natumia pangaboy 24 hrs feni inazungukaFan? Au zinaleta mafua
Sleep wizaut lingarie or na birth suit, joto utalisikia redioni
Ahsante shem akee!!!nashukuru sana kwa ushauri wako ntauzingatia sana!yaani unalosema ni sahihi kabisaa nakuunga mkono kabisaa!!!ntafanya hvyo sana!Kamata hii shem lake.
Kwa vile wewe ni mzazi wao, watoto wanaweza wakakupenda na kukuheshimu sana lakini wakawa wamekuzoea. Hata ukiwapa ushauri na nasaha za maana sana wanaona tu ni kawaida na hawatilii maanani kivile. Mama ndo kawaida zake!
Pamoja na kwamba ni jukumu lako kama mama yao kuwaombea kila siku na kuhakikisha wanakua katika misingi sahihi ya kiMungu lakini pia siyo vibaya ukiwa na watu wa nje wachache unaowaamini mkawa mnasaidiana nao katika kuwapa mawaidha na miongozo hasa kipindi hiki kigumu na cha hatari wanachoingia utineja. Anaweza kuwa dada yako au rafiki yako mliyeshibana sana. Wanakwenda huko na kusikia sauti nyingine hata kama ni mawaidha yale yale, lakini kwa mtazamo tofauti. Inasaidia sana lakini hakikisha ni watu unaowaamini sana ndo wanakuwa na access na akina Minza wetu.
Kuna kipindi binti yangu alinigomea kabisa kabisa. Yaani nikimshauri, kwa vile ni mimi baba yake, anaona kama namboa tu. Naona ni stage fulani hivi huwa wanafikia yaani hawataki kabisa kusikia sauti ya mzazi. Utasikia oooh boy here comes the lecture!...na macho wanakuzungushia. Basi nikamtuma kwa rafiki yangu wa kike nikamwambia bwana eeh hebu nisaidie hapa. Wiki moja aliporudi amekubaliana na kila kitu alichoshauriwa kule wakati ni kitu kile kile nilichokuwa namshauri mimi. Hata mimi nilishashauri watoto wengi wa ndugu na marafiki; na wakanisikiliza mimi na kufuata ushauri wangu kuliko wa wazazi wao - kumbe mimi na wazazi wao letu moja!
Mbona kama nianze kupack asap 🤔🤔Ile tour ya mbeya lini Tena nikupeleke ziwa nyasa matema beach
Pale BomaYeah nilisema ila natengua kauli baada ya kusoma mahali kuwa mbinguni tutapewa miili mipya
Hiyo hiyo mradi ikiwekwa sukari inabamba
Kuna sehemu ipo Moshi niliona kwa tv panaitwa Maji moto (sijui pana jina lingine) watu wanaogelea nikapapenda mazingira yake so ndio nataka nikija niende hapo nikapunguze stress
@mahondaw eti shouzzzzzzzz rangi ya sare ya harusi ni ipi?Utuambiage mapema tujue rangi ya sare



Skin tone 👌Thursday si bado haijaisha....🙃
View attachment 2163391View attachment 2163392View attachment 2163393
Angel Lizzy ni 🔥🔥🔥🔥Thursday si bado haijaisha....🙃
View attachment 2163391View attachment 2163392View attachment 2163393
Spending limit ????😎😎Unapotaka Malaika tutakwenda na vikadi vyote vya bank ukae navyo 😀😀😀