Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitakupeleka lazima, tukale tuongeze weight😋

Kumbe hua unatengeneza mwenyewe mtindi, good girl.
Tengeneza mwingi nikuje kunywa na mie, naona safari ya huko soon inanukia😛
Tuongeze weight? Sio wewe uliyeniambi ni maintain hizi kilo 12!?

Actually sio pure mtindi maana natumia flavor 😋

Moshi?? Au au au ai weweeee 🤪🏃‍♀️
 
Tuongeze weight? Sio wewe uliyeniambi ni maintain hizi kilo 12!?

Actually sio pure mtindi maana natumia flavor 😋

Moshi?? Au au au ai weweeee 🤪🏃‍♀️
Yeah nilisema ila natengua kauli baada ya kusoma mahali kuwa mbinguni tutapewa miili mipya😂

Hiyo hiyo mradi ikiwekwa sukari inabamba😋

Kuna sehemu ipo Moshi niliona kwa tv panaitwa Maji moto (sijui pana jina lingine) watu wanaogelea nikapapenda mazingira yake so ndio nataka nikija niende hapo nikapunguze stress
 
Back
Top Bottom