Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Imetulia mnoUmeona hiyo color combo?
Imetulia mnoUmeona hiyo color combo?
Asante dearUna unywele ...nakutamania.
Umependeza
Hahaha siamini ilaSiku nikiweza ntafanya sherehe
Usichoke kusubirinachubiri mpenzi...😋
Okay, nimeona ,chini ni ya kawaida tu,penseliYa kijani
Si ndiyo hapo; anataka mbegu ya huo unywele aipeleke kwingine 🤣🤣Akirudi sasa ndio anaona rangi zetu halisi mawifi![]()
umesema dkk 0. mbona sasa bado eti?Usichoke kusubiri
Mmh Leo umeamkia wapi; maana wewe unapenda tu nyeupe na nyeusi🤣🤣Imetulia mno
Leo hamjaselfika kbs humu.ilikua km kitchen party

Nimeshatuma mbona, haijafika?umesema dkk 0. mbona sasa bado eti?
Hahaa umefananisha na nani?
Sio mimi![]()
Wanyakyusa wapo vizuri ,wanajali hao .. kama ni shida ndogo mvumilie mwaya .Sawa nimekusikia wifi,nimekaa kwa kutulia
Sio shy,, ila inaniwia ngumu kuongea na nyie public especially kama hatufahamiani vizuriHahaha siamini ila
Seems upo shy ndo maana unashindwa kuintiate maongezi .
Sio shy,, ila inaniwia ngumu kuongea na nyie public especially kama hatufahamiani vizuri
AmeeeenWanyakyusa wapo vizuri ,wanajali hao .. kama ni shida ndogo mvumilie mwaya .
Chi chi chibongeeeeNyie majukumu/ ukubwa unafubaza nyie mwee
#2021View attachment 2163290
Ooh okay , nimeelewa ..Sio shy,, ila inaniwia ngumu kuongea na nyie public especially kama hatufahamiani vizuri

Sisi tutabaki na nini sasa?Si ndiyo hapo; anataka mbegu ya huo unywele aipeleke kwingine![]()
