Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitaomba ugali wa Dona na Samaki, pembeni kuwe na glass ya Maziwa Mtindi[emoji39][emoji39]

Jamani wale ambao nitakuwa nimewafanya wapate hamu ya kula Kwa kutaja vyakula hivyo naomba mniwie radhi, hata hivyo huu ni muda wa Lunch [emoji39][emoji39][emoji39][emoji2957]
Samaki wa mchuzi wa nazi ama wa mkavu[emoji39]
 
IMG_20220321_142814_970.jpg
 
Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.

Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
Kuna michepuko pia inayohonga waume za watu. Kuna michepuko inatoa connections za maana kwa mume; utajua haujui
 
Back
Top Bottom