Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Msema kweli ni mpenzi wa MunguSijazoe kusema uongo
Msema kweli ni mpenzi wa MunguSijazoe kusema uongo
Duh[emoji848]Kuna michepuko pia inayohonga waume za watu. Kuna michepuko inatoa connections za maana kwa mume; utajua haujui
Ndiyo nimekuja sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo utoe risala mama malezi.
Eeeh wifiDuh[emoji848]
Nakusubiri, Kuna mapaja yote mawili yanakungoja 🙊🤪Nyama haina shida....😁😁
On my way 🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Kaka enu mwenyewe hana hela nimuache?[emoji125][emoji125][emoji3]Eeeh wifi
Akija kuzipata usirudi kujiliza; tutakuchamba hadi uwe mfupi 🤣🤣🤣Kaka enu mwenyewe hana hela nimuache?[emoji125][emoji125][emoji3]
Basi huyo tutampeleka tu wet n wild!!!akaogelee!!safari ndefu tutalii wenyeweBado chalii safari ndefu hawezi anakaa na bibi
[emoji23][emoji23]
Waja mmeanza hahaaMrs LyatongaView attachment 2163097
Kwani kuchunwa dhambi?!![emoji848][emoji848][emoji848]!!!hakichuni unampa?!!maana asili ya ke ni kupewa tu kila kitu!!Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]
Kuna mtu kaniahidi atanifundisha namsubiriKuna habari humu ndani?[emoji52]maana naona sijui Mme wa mtu,sijui kuchepuka,Mara ndoa na iheshimiwe na watu wote, Mara kuifinyia staili ya zamani[emoji57]haya nipeni mpya miyee nyie vijana!
Alete hapa au akiileta baasi aunde group na miye bibi nisipitwe nimdhibiti vzr bepariKuna mtu kaniahidi atanifundisha namsubiri
Ila nimemuuliza kuifinyia kwa ndani ndo kufanyaje hajanipa jibu wew unajua 😬Alete hapa au akiileta baasi aunde group na miye bibi nisipitwe nimdhibiti vzr bepari
Jamaniii nikionaga watoto huwa nachanganikiwa kabisa Mungu nipe na Mimi kamoja beautiful baby😍❤️I'm in love with my last born View attachment 2163103