Wapi huko rafiki [emoji28]@Tinsley nimekuona leo
Hahahha huwezi bhana [emoji28]Na kwelu uncle niache.. maana naweza nikakuharibu tabia [emoji3][emoji3][emoji3]
Sioni binti mdogo hapo
Unajifunza kuharibikiwa[emoji848]Hahahha huwezi bhana [emoji28]
tunajifunza kutoka kwa wakubwa
Tunachuja rafikiUnajifunza kuharibikiwa[emoji848]
wakubwa wenyewe kama mie hasara tupuuu 😀😀Hahahha huwezi bhana [emoji28]
tunajifunza kutoka kwa wakubwa
Mie huyu.. 🤔🤔🤔 sikumbuki jamaniSafi za kwako mpendwa ile ahadi yetu ya kunibariki picha why hutaki kuitimiza
Nakuaminia Unclewakubwa wenyewe kama mie hasara tupuuu [emoji3][emoji3]
Angel Lizzy ungemtesa tu aisee 😀😀View attachment 2162928
Ugali huu hapo nimekata tonge Moja, nikirudia mara mbili tu Unakuwa umeisha 🤪🤪
Angekuwa Lizzy na mwenzie Saint Anne hapo lazima washindwe kumaliza 😀🏃🏃
Kumbuka basi kwa kuweka tupicha tumoja🥰Mie huyu.. 🤔🤔🤔 sikumbuki jamani
Kwakua wewe acha nitupie 😊😊Kumbuka basi kwa kuweka tupicha tumoja🥰
Ha ha ha.....Sio wa baba mmoja bwana, we jamaa vipi[emoji23]
Nyama 🙊😋😋View attachment 2162928
Ugali huu hapo nimekata tonge Moja, nikirudia mara mbili tu Unakuwa umeisha 🤪🤪
Angekuwa Lizzy na mwenzie Saint Anne hapo lazima washindwe kumaliza 😀🏃🏃
Sahii kabisa [emoji4]Ooh yeah
Kwa sie ambao hatuwezi mabishano ,huu uzi ni bora sana
Ha ha ha...Mkuu unalipamba neno kuchuna na kiingereza kuchuna wamesema watachunia hata panga dah