Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Acha kabisa hizo zina kazi yake maalum😎Ndevu kama steel wire zina kazi nzuri sana hizi 😎😎😎
Acha kabisa hizo zina kazi yake maalum😎Ndevu kama steel wire zina kazi nzuri sana hizi 😎😎😎
😉Usijali Mkuu, ombi lako ni amri kwangu 🤪
Basi nimefurahi kukuona Nuzulati hope kila. kitu kwako kinaenda sawa kabisaaAcha kabisa hizo zina kazi yake maalum😎
Nafurahi kusikia hivyo mrembo kuwa upo powa. jambo la kumshukuru MuumbaNiko poa mkuu hofu kwako
Ulikuwa kwenye daladalaWapi huko rafiki![]()
Siku nzuri inaanza muda wowote,, for the first time nimeona picha ya HS
Hahahha ndo maana huwa najishtukia sana kwenye daladala situmii JfUlikuwa kwenye daladala

. Asanteeee, umenifaa sana hapo.Haya.. taadhari.. hutokaa utamani tena mwanadamu mwenzako... nishatoa order mahala wanaanza kulifanyia kazi request lako wana li program.. utafaidiii View attachment 2162879
Usijekuta akajiua kweli. Mungu na Amsaidie

Babu wamuache dah!Ni mdogo kwa babu tena kwa mbali kweli
Sure, forex imeisha ingiza wengi kwenye matatizo.. na ina maumivu makali sanaaUsijekuta akajiua kweli. Mungu na Amsaidie![]()
Ni wachache mnaoiwezea kwa sababu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Sema vijana wanasoma soma tuvitabu tu hapa na pale wanakuwa na tamaa ya kudaunilodi pesa. Matokeo ndo kama hayo sasa.Sure, forex imeisha ingiza wengi kwenye matatizo.. na ina maumivu makali sanaa
Folex ni Risk Management, Patience.. wengi ndio maumivu yapo hapa na kutopenda elimu endelevu.. forex kila siku ni kama shule.. kama mtu hataki kujiendeleza hatoboi hata siku mojaNi wachache mnaoiwezea kwa sababu inataka nidhamu ya hali ya juu sana. Sema vijana wanasoma soma tuvitabu tu hapa na pale wanakuwa na tamaa ya kudaunilodi pesa. Matokeo ndo kama hayo sasa.
Mi mwenyewe nilisoma soma vidarasa hapa nikafunguliwa na demo account na walimu tena wanajidai maprofesheno kabisa wana likampuni likuuuubwaa kuja kwenye laivu akaunti yaani maluweluwe tupu. Vihela vyangu mpaka leo vinaniumaga yaaniFolex ni Risk Management, Patience.. wengi ndio maumivu yapo hapa na kutopenda elimu endelevu.. forex kila siku ni kama shule.. kama mtu hataki kujiendeleza hatoboi hata siku moja



😀😀😀 ila uvumilivu imenichukua zaidi ya miaka mitano.. nimepoteza hela nyingi.. ila sikuwai kata tamaa.. nilikuwa na ile spirit one day one day.. na bado nakomaa najifunza nazidi kuelewa soko one day inabaki kuwa yesMi mwenyewe nilisoma soma vidarasa hapa nikafunguliwa na demo account na walimu tena wanajidai maprofesheno kabisa wana likampuni likuuuubwaa kuja kwenye laivu akaunti yaani maluweluwe tupu. Vihela vyangu mpaka leo vinaniumaga yaani![]()