Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimenuna....[emoji20][emoji20]

Nimekasirika....[emoji35][emoji35][emoji35]

Kwahiyo ulishaona tangu ile ya kiwi cha macho cha kwanza ukajidai hujaona...

Siongei tena na wewe [emoji20][emoji20][emoji20]
Ya mwanzo nilikuwa sijaona I swear. Ya pili ndo nimeona...Gojazi & Classic. Wenye pesa zao wanafaudu!
 
Yaani Mnyamwezi wewe basi tu...

Unajua kupika matoborwa lakini au pigo zako ni caviar za Masaki na Sandtown tu? Hooovyo!


Screenshot_20220320-022104_Chrome.jpg


Nikuwekee na chai ya maziwa au ya rangi?

Kwenye chai utatumia asali au sukari..?

Utapendelea vya kuchemsha pekeyake au ungependa niviunge na karanga...?

Bado nimekununia...😔😔😔😞.
 
View attachment 2157399

Nikuwekee na chai ya maziwa au ya rangi?

Kwenye chai utatumia asali au sukari..?

Utapendelea vya kuchemsha pekeyake au ungependa niviunge na karanga...?

Bado nimekununia...[emoji17][emoji17][emoji17][emoji20].
Mimi sinuniwagwi. Utajichosha tu. Unamnunia mzee wa miaka 76 ili upate nini? Laana ama?

Matoborwa na maziwa mgando kwisha kazi. Kinachofuata ni kusinzia tu yaani. Simpo laifu!
 
Back
Top Bottom