Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Abiud Misholi tupa kuleee...

Una umbo matata sana yaani. Ukija kunenepa kidogo tu itabidi muwe mnaongozana na kamanda Pep kila uendako kwa sababu miruzi na kadhia zitakuandama sana. Si kwa umbo la mkatiko hili wallahi!!!

Bosi ledi umeona hili umbo?
Blaza Pep anasemaga pisi kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom