Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,195
- 183,016
Unaniamsha na habari zako za kukojoa!🤭🤭🤭🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie nimefanyaje tena shouz uwiiiiih
Unaniamsha na habari zako za kukojoa!🤭🤭🤭🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie nimefanyaje tena shouz uwiiiiih
Mama kayai,upo vizuri yaan umenirudisha kuleee.Saint Anne chap kwa haraka zingatia hizo kucha View attachment 2160922
Kumbe nawe wamo[emoji4]Kidogo JD
Naona jua ni Kali sana hapa DSM, naomba niruhusu nije kununua Barafu walau nipoze joto hili🙈🤣🤣🤣😂😂 mbavu zangu mkuu hahahaaa!!
Hatari sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Saint Anne chap kwa haraka zingatia hizo kucha View attachment 2160922
Labda kama kile kishundu unachokitupiaga humu siyo chako. Hupati hata senti moja! [emoji51][emoji51][emoji51]
Ameen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Si hapo sasa nilifuga kiasi 🤣🤣🤣Hatari sana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Natamani ningekuwa nazo nzuri hivyo
Tatizo ulinihujumu zile vocha.Na hii nimekosa tena[emoji24][emoji24][emoji24]
Leo nina mkosi gani mimi
Kwamba wanatudanganya na vitenge vyetu?Mna dhambi nyie
Si ni nyie mnanisifiaga humu na vitenge au siyo nyie[emoji1787]
Nimekurudisha wapi?Mama kayai,upo vizuri yaan umenirudisha kuleee.
Ndiyo nimeambulia tagTena nilikutag wewe tu!!
Pitia kaunta hapo uchukue vinywaji vyako nilishalipia🤪Tayari. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua hauko serious wee?Aisee kesho nikumbushe mida ya saa 5
Kazi ninayo fanya muda mwingi kucha ziko wazi 🤣 yan ile zinaonekana kwa watuUnapenda kucha eeh?
Ngoja nimwite CarihaNilishatoa laki moja keshi. Mtu ye yote anitafutie binti wa Kinyaki flati skrini kabisa hana hata kishundu kabisa cha kubingirika. Naona nitaishia kuila tu hii hela...
Kwa kifupi hakuna...
Imagine Mtakatifu aachane na magauni na masketi yake ya Ki-Abiudi weh!
Wakati wa uumbaji Mungu Aliindoka na udongo wake kutoka mikoa ya Kaskazini na kwenda kuumalizia wote huko kwa Wanyaki [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nasahau student mambo mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua hauko serious wee?
Traako nehiKwamba wa kaskazini tumewakosea nini?
Ooh pole, lkn ziko vzr mbonaKazi ninayo fanya muda mwingi kucha ziko wazi [emoji1787] yan ile zinaonekana kwa watu
Sasa ni changamoto zikiwa vibubutu