Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,849
- 37,555
Eeh kabisa mama mchungaji nimetulia!Mrs Abiud![]()


Kuna picha nyingine tukituma humu


itakua balaa,acha tutume za kanisaniEeh kabisa mama mchungaji nimetulia!Mrs Abiud![]()




itakua balaa,acha tutume za kanisaniMie tena Usiwaze mbona!Mie zote ambazo sijaona, fanya ufanyavyo nizione tyuuh.![]()
Yeah! Hapa parefu ndugu zangu!Greetings!View attachment 2160891
Halafu ni wifi yetu.nimepiga na mruzi kama subaru
Kaka alijua kuchagua..hakuchagua watoto walioshindikana kwao.
Alichagua dada mzuri anayeendana na wifi zake



Hapana; wewe tuma tu picha zozote wifiEeh kabisa mama mchungaji nimetulia!
Kuna picha nyingine tukituma humuitakua balaa,acha tutume za kanisani
KumekuchaaaaaaaGreetings!View attachment 2160891
Na utanambia unakolivaliaga
Maana ukitembea ndio kwanza linataka kupanda mpaka kifuani..
We mtoto ushashindikanaaa![]()

Ila unanichinja dea, afu sio poaa yaanKaone kinacho kuchekesha hasa kitu gani![]()




Yeah! Hapa parefu ndugu zangu!
Asante sanaKaribu sana binti Abiud. Very decent

Uwiii🔥🔥🔥🔥Greetings!View attachment 2160891
Lovely
Mungu amekupendelea sana, yaani sana.Greetings!View attachment 2160891
Mama alisema hutuoni wakubwa?
Sijawahi vaa toka nimenunua,lipo kwenye begiView attachment 2160880View attachment 2160882View attachment 2160883


Mbna sijaona mie lol.WaauweeeeehhhhhhhhUmenouga hatari
Wanyaki kama kawa. Wifi akaribie sana, ila atuzoee tu na ghubu letu![]()


mna gubu