Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi pigo naenda nazo wapi?
Za kulalia usiku.


Mchana tutapambana na magauni ya mama Abiudi🤣
acha basi.. binti mzuri mdogo mdogo kama hivi lazima vijana tuone tako, kifua shape.. tupate changamoto.. sio kama unaenda kuzika mtu wa covid.. katrakoo kazuri kakushika.. acha vijana wapate changamoto 😉😉😉
 
Hapana

Labda tu nimfananie, afu sasa mbona mie nitakuwa nafanana na watu wengi!!!

Shule nilifanana na mtu mpaka utwin ukaanza.

Chuo the same, mpaka sahivi bado utwin wetu unaishi.

Mtaani now nafanana na secretary wa NGO flani.

Khaaa jamani [emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas kat ya hao watu, ndo anakufananisha naye.
 
Back
Top Bottom