Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una kiuno cha nyigu hata changu hakioni ndani.

Ile picha ya jana irudiwe aiseee

Kama Umeshushwa hivi toka Zebaki
Unawakawaka boss ledi
Hiyo wala sikuiona...dah!

Bila shaka itakuwa ni Bosi Ledi katika ubora wake - aking'ara kama jua la asubuhi lililojaa dhahabu ghali katika ncha zake zenye joto burudishi...Nani kama Bosi Lediiiii?

Irudiweeeeee !!!
 
Nguo yake nzuuri ile gauni
Umbo lake 8 linaonekana mubashara..
Tena ile nane kipande cha chini kimezidi cha juu
Imekaa mubashara

Najua ataweka tu
 
Back
Top Bottom