Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
TunasubiriHahahaaa.... mie roboti lenu sina tabu nanyie nageuka tu!!!!
TunasubiriHahahaaa.... mie roboti lenu sina tabu nanyie nageuka tu!!!!
Aimeeeeeeeeeennnn!!!? Hurrrrrayyyyy kwa Saint Anne hurrrrrayyyyy 👌👌👌👌👌Haya sasa ndo mapigo na swaggzz, ukivaa hivi nakutoa out mie,
Cheki toto la kinyaki hilo, sema. AMEEEEEN!!
hallelujah, weuweeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji108][emoji108][emoji8]cutie
Bwana Yesu asifiwe mtumishiacha basi.. binti mzuri mdogo mdogo kama hivi lazima vijana tuone tako, kifua shape.. tupate changamoto.. sio kama unaenda kuzika mtu wa covid.. katrakoo kazuri kakushika.. acha vijana wapate changamoto 😉😉😉
Njoo nikugawie hili gauni..
Yetu macho bwana!!Upambe haukufai Pendael naomba waachie kina Anne pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa.. katrakoo safii.. ndio pigo hiziii.. sio unavaaa kama sister wa huruma.. mambo kama haya vijana wakaone wapi.. fahari ya machoo [emoji41][emoji41]
Katika hao watu hamna mtu anaitwa Nuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas kat ya hao watu, ndo anakufananisha naye.
😠😠😠😈👿Bwana Yesu asifiwe mtumishi
Hapana; Mzee kama Mimi nitaonekana navamia mambo ya mabinti🤣🤣🤣Njoo nikugawie hili gauni..
Ukitembea linazidisha mapepo,linapanda juu
Nakujaaah mie.Njoo tutumie, baada ya kikao na Mamlaka wametulipa Leo[emoji23]
Umenichekesha sana mkuuSasa Depal
Mtu anatafuna limbe
Anakula mgagani
Anakula ngubalo na fulu
Anakunywa maliboto
Anatafuna mbegu za maboga
Bado unauliza pumzi kweli[emoji1787][emoji848]
Najua😠😠😠😈👿
Utumishi ukiwa kijana hauwezekaniki. Labda sisi wazee. Roho i radhi lakini mwili u dhaifu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Bwana Yesu asifiwe mtumishi
Wee tuma hizo zingine sasa jomoneee. [emoji4][emoji4][emoji4]Eeh kabisa mama mchungaji nimetulia![emoji23][emoji23]
Kuna picha nyingine tukituma humu [emoji125][emoji125][emoji125]itakua balaa,acha tutume za kanisani
Hebu selfika mkuu!!Yetu macho bwana!!
[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Mie tena Usiwaze mbona!
Boss lady tupia banaHebu selfika mkuu!!
Hakuna namna tutakwepa pigo za uviko 19😂😂😂😂acha basi.. binti mzuri mdogo mdogo kama hivi lazima vijana tuone tako, kifua shape.. tupate changamoto.. sio kama unaenda kuzika mtu wa covid.. katrakoo kazuri kakushika.. acha vijana wapate changamoto 😉😉😉
hahahaaa... kwa leo inatosha 🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️Geuka tu Bosi Ledi. Unaishi katika nchi huru. Hata ubinuke sarakasi sawa tu mamake [emoji122][emoji122][emoji122]